Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Inna lillah wainna ilaihyi rajiun.
Bro pole sana.
umetoka kwenye kifo cha mzee sasa umepata pigo la mtoto, daaah.
Mapenzi ya Mungu yatimizwe[emoji120][emoji120]
Umekutwa na magumu mawili mfululizo. Kibinadamu ni ngumu kuhimili, itafute nafuu kwenye Imani, Mungu akupunguzie maumivu ya kuondokewa na wapendwa wako mfululizo [emoji120]
Nige[emoji24][emoji24]pole sana.
Maumivu uliyonayo one can only imagine,ni Mungu tu pekee ndo anajua.
Pole sana,Mungu akawe faraja yako kuu katika kipindi hiki kigumu.
[emoji120][emoji120]
Uko kwenye sala zangu[emoji120][emoji120]
Pole sana Ningendako, Mungu awe faraja kwako kwa kipindi hiki kigumu unachopitia
Mmmh ninge moyo umeumia sana mwaka huu umekujia vibaya. Pole sana. May our child Soul Rest in Peace[emoji120][emoji120]
Nashukuru sana ndugu zangu, Mungu awabariki
 
Danish television writes (in danish):

The director of the National Board of Health, Søren Brostrøm, states in a press release from the National Board of Health that Danish-Norwegian registry studies have shown an over-frequency of side effects, especially blood clots in the veins in the brain, after vaccination with the AstraZeneca vaccine: - Overall, we must say that the results show that there is a real and serious side effect signal with the vaccine from AstraZeneca. Based on an overall consideration, we have therefore chosen to continue the vaccination program for all target groups without this vaccine, he says.
 
"Kama ambavyo maelekezo ya Serikali yametolewa tunafuatilia kwa karibu sana suala la mabando au vifurushi ili virudi kama ilivyokuwa awali”———Dr. Jabir Bakari Kuwe, Mkurugenzi Mkuu TCRA akiwa Makao Makuu ya TCRA Dar es salaam leo
"Tuna-monitor na tunategemea muda si mrefu vitakamilika na vitarudi vyote kama ilivyokuwa awali, tunafuatilia kila saa na muda sio mwingi vitarudi kama zamani, maelekezo ni kwamba tunarudisha mabando yote kama mwanzo"———Dr.Kuwe
 
Ndugu zake wa Tumbatu wamefanya sherehe? Maana yake alikuwa dharimu mpaka kwao!
Watu wakipata hivi vyeo wanakuwa kama wanyama[emoji849]
 
Huku hakuna mabadiliko, wembe ni ule ule.
Si unajua sisi huku tupo kwenye "Utwahuti"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…