myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Tanzania yetu....Nchi ambazo wananchi wake hawana furaha zaidi mwaka 2021;
1. Afghanistan
2. Zimbabwe
3. Rwanda
4. Botswana
5. Lesotho
6. Malawi
7. Haiti
8. Tanzania
9. Yemen
10. Burundi
Chanzo: World Happiness Report
Mie mzima brother. Mfungo unaendeleaje?Mzima best
Hapo chacha. Nmependa hii.View attachment 1752562[emoji1787]
Tutaskia na kuona mengi
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji1666]"Ongeeni yote, mi nataka Katiba tu"View attachment 1752716
Kuna watu hawatakuelewa [emoji28]Kunywa pombe zaidi ya mara tatu kwa wiki ni hatari kwa afya yako!
[emoji196] Wasameheni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16] Utopolo bana...
View attachment 1752902
Pombe kali nikipiga 350ml huwa najisikia kubembea kwa raaaahaaaa....Kunywa pombe/vileo kiistarabu kuna maana usinywe vipimo zaidi ya vitatu (mwanaume) na vipimo viwili (mwanamke). Kipimo= bia 1, gilasi ya 75ml ya mvinyo/wine na gilasi ya 25ml ya pombe kali (spirits) mfano Konyagi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]UTAFITI: Unywaji pombe kali (spirits) mfano Konyagi huongeza hamasa ya tendo la ndoa
πππππPombe kali nikipiga 350ml huwa najisikia kubembea kwa raaaahaaaa....
Hiyo 25ml si itaishia kwenye ulimi
Kiwira?[emoji120][emoji120]View attachment 1752803