Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Mmhhh. Sio mchezo
 
Mi namkumbuka huyu, alituhumiwa kwa ugaidi, hususan zile rabsha za kushambuliwa mapadri na taasisi za kidini ( Kikristo) huko Zanzibar
Alituhumiwa kama mdunguaji aliemuua Padre Mushi maeneo ya Beitras Zanzibar.

Alikamatwa baada ya scratch ya mtu aliemdungua Padre kufanana na sura ya kwake.

Alienda kuchkuliwa maskani maeneo ya Michenzani.
 
Hahahahahahaha unaogopa tako kwani?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mwenyezi Mungu anajua umuhimu wake ndiyo sababu akaliumba au tungekaaje chini 😜😜 au kwa kuwa ni mwezi wa TOBA!?
Nikiona posts zako ulo attach picha nascrow down mbio mbio naogopa nisije kukutana na tako.

Mara dogo yupo pembeni ananiuliza 'mama huyo nani?' [emoji1787]
 
Hahahahahahaha unaogopa tako kwani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mwenyezi Mungu anajua umuhimu wake ndiyo sababu akaliumba au tungekaaje chini [emoji12][emoji12] au kwa kuwa ni mwezi wa TOBA!?
Kwa mwezi huu ni mtihani sheikh.

Leo nlikutana nalo moja umelipost nlitoka fasta na Astaghfirullah nyingi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…