moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji120][emoji120][emoji120]Wakati wa uhai wake, Maalim Seif alishirikiana vyema na Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, na walichukuwa juhudi kubwa kuhakikisha kwamba suala la Masheikh wa Uamsho linapatiwa ufumbuzi. Na kwa kweli, juhudi zao zinaelekea kupata mafanikio. Nami nitaendelea kuungana na Rais Dkt. Mwinyi kuendeleza palipofikia". Alisema Makamu huyo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.
Mheshimiwa Othman ameongeza kwamba sifa za waja wema ni kusema ukweli na kutenda haki, ikiwa ni pamoja na kutimiza dhamana wanazokabidhiwa.
View attachment 1754096
[emoji120][emoji120]Kwangu ni amana na dhamana, maana nafasi hii ya Umakamu wa Kwanza wa Rais niliyonayo, nimeachiwa na mtangulizi wangu, Marehemu Maalim Seif Sharif Hamad. Kwa hivyo, nina dhamana ya kuhakikisha yale aliyoyaanza yeye katika kuwasaidia ndugu zetu hawa Masheikh wa Uamsho kupata haki yao, na mimi niendeleze katika hilo". Alisisitiza kwa waumini hao.
Vile vile, Makamu huyo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar amesema kuna haja kubwa ya kuwasaidia Masheikh wa Uamsho pamoja na familia zao, kwani ni muda mrefu sasa wapo mahabusu wakisubiri hatima ya kesi yao.
[emoji120][emoji120]"Kipindi hiki cha Ramadhani tujitahidini kuwasaidia wenzetu wale ambao wana mahitaji. Na kwa mujibu wa sheria za nchi yetu, hakuna kosa kwa mtu kutoa msaada kwa Masheikh wale wa Uamsho au familia zao. Ni vyema sana kufanya hivyo kwa mwezi huu wa Ramadhani na hata baada, kwani katika jamii zetu wapo watu wengi wanaohitaji misaada kutoka kwetu", alinasihi makamu wa kwanza wa Rais
Sambamba na hilo, uongozi wa Masjid Maghfira umemuomba Makamu huyo wa Kwanza wa Rais kuwa mlezi wa msikiti huo, ombi ambalo Mheshimiwa Othman amelikubali.
View attachment 1754100
===============
furniture za msikiti[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji120][emoji120][emoji120]Mungu atupe afya na uzima [emoji120][emoji120]
Mnywa urojo na ugali wa Kisukuma wapi na wapi? Lakini mpendwa, unaweza kweli wewe kupika ugali wa Kisukuma kabisa tena ule mgumu kama jiwe? Sidhani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Hahaha nataka nimpikie mnywa urojo ugali wa Kisukuma nimvunje meno.
Cha tatu leo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Mpaka nilipokumbuka kuwa ni siku ya tatu ya mfungo ndo akili ikakaa sawa. Niliwaza "vibaya" sana [emoji2211][emoji2211][emoji2211]Cha tatu nini?
Ngoja mabaharia waje [emoji23]
Nani kama mama?Umagufuli bila Magufuli[emoji38][emoji38]
Aseeee[emoji849][emoji849][emoji849]
Kunakuwaga na shangwe shangwe za muda, akishazoeleka mambo yanageuka.Nani kama mama?
Karibu shamra shamra zitaanza kupungua watakapotambua kuwa mifumo, ilani, serikali, katiba na chama bado ni vile vile...
Lile licheza mieleke la WWE limeachana na J-Hud ??? Daah noma sanaa!Kabisa Mkuu halafu lile jinga lililomuoa likamkorofisha hadi ndoa ikavunjika.
πππ...Alitufanya tuishi kama digi digi wanaokimbia kimbia porini kuwakwepa chui, fisi, mbweha na Simba.
Maana mara wasiojulikana, mara kesi ya uchochezi, mara kesi ya kumkashfu rais.
Jamaa alikuwa mmmh.
Halafu ukilalamika, hakuna anayekujali watu watakwambia "ulikuwa mpigaji wewe tulia ukione cha moto"
Kama walikamatwa na serikali iliyopita, na wao ni serikali, si wawatoe?!!!Nitaendeleza alipofikia Maalim Seif katika kuwasaidia Masheikh wa Uamsho - Mheshimiwa Othman Masoud
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, ameelezea utayari wake wa kufanya kila awezalo, akishirikiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, kuhakikisha kuwa Wazanzibari waliokamatwa na kupelekwa Tanzania Bara kushitakiwa kwa tuhuma za makosa yanayohusiana na ugaidi wanatendewa haki.
Duuh.. hii biashara kumbe ina mkwanja hatariMessi's current contract is the largest sports contract in history ($673.9M). He earns $3.7M per game.
Ulikuwa uporaji uleNimefurahia kwa suala zito la wafanyabiashara wa maduka ya kubadilishia fedha mkoa wa Arusha kuhojiwa kwa mara ya kwanza
Kati ya mambo ambayo yalitia giza serikali ya awamu iliyopita ya tano ambayo hadi leo ni uchungu mkubwa kwa waliokumbwa na uonevu huo ni hili la wafanyabiashara wa mkoa wa Arusha wa maduka ya kubadilishia fedha za kigeni Haitosahaulika hii siku ambayo ilileta maumivu makubwa kwa wafanyabiashara...www.jamiiforums.com
πNiamekuandalia DakuView attachment 1754080