antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Dooh🙄Kikundi cha baadhi ya askari wa kukodiwa wakizungu wakihojiwa baada ya kushindwa jaribio la kuipindua serikali ya kijamaa ya Rais Albert Rene 1981. Waliingia kama watalii mpango ulioandaliwa na Afrika Kusini kwa lengo la kumrudisha madarakani Rais wa zamani bepari James Mancham.
View attachment 1771435
😂😂😂Niko hapa kwa kutoa likes za kufa mtu. Wekeni vitu Wakuu 🙏🏾🙏🏾
Duh.. huyu ni samaki kweli au picha ya kutengeneza?
Mama aangalie. Hawatakawia kumpachika u-Vasco da Gama sasa hivi. Wabongo hawajui nini [emoji16][emoji16][emoji16]