Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera sana kijana, miaka 28 si haba.
Ila kwa maisha ya hapa Jf umri huo utakuwa sawa na kijukuu cha mzee SHIMBA YA BUYENZE, utakuwa sawa na mtoto wa pili wa mzee jirani myoyambendi, utakuwa sawa na mtoto wa kwanza wa mzee Andjul, utakuwa sawa na kijana wangu.
Ubarikiwe sana mwanangu[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Hahahahahaahhaa,[emoji23][emoji23]

Duuu, si kwa mashairi hayo, khaaaa [emoji15][emoji15]
 
Yani dogo wa 93 nimsalimie? We kweli mla urojo!
Dogo ananifuata mimi kazaliwa November of 92 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…