antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
πππkikubwa nilichokifanya siku ile ni kutengeneza mdundo wa muziki hatimaye wimbo ukaimbwa na wanafamilia wa humu ndani.
Nimezaliwa miaka 28 iliopita, siku kama ya leo, tarehe kama ya leo.
ningelikuwa na simu yenye camera ningeliweka cheti changu
teh teh teh
wafuatao kuanzia leo wanipe heshima, hao wajuu wanapaswa waniamkie kila wanaponiona
=================
- numbisa, kazaliwa 2001
- the happiness, kazaliwa 2005
- nigendako mtoto wa juzi
- capitalpool, kazaliwa 2008
- moudgulf
- myoyambendi
- shimba ya buyenze
- andjul
View attachment 1810171
Mungu ni mwema ndugu yangu, pole kwa mahangaiko ya kila sikuAnkoli ndugu yangu kwema habari za siku kadhaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwema harakati tu Wazee wetu mtuelewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna sehemu nikaona uncle kipenzi moyo ukastuka
Huyo abui ni King Mswati Davet [emoji3][emoji3][emoji3]Kwakuwa wewe upo hapa naye ataingia hapa kukuona ili msalimiane.
Mzee wa Mwakaleli unaitwa huku[emoji23]
na jina lake la kuzaliwa ni maimuna.
ππWenye uzi wenu leo mmekuja.
Carbamazepine yupo.
Kijana mpole yupo.
Wapi SYB.
Wapi Uniq
Wapi Kichwa Kichafu
Wapi Mzee wa liver
Wapi Malkia mchawi
Wapi Rutta.
Njooni tugonge likes kama zamani
Kutoka kwa wazazi?ππtambo zote hizi akija handsome boy wa kisukuma utamsikia
mwaka 1993 ndio mwaka ambao nachukua PHD yangu ya sheria za kilimwengu
salaam balozi togolaniSalam za weekend
πππ umeniamulia eeh, mie ni dada yako vile vileπ¬huyo atajizungusha weee mwisho wa siku atakubali ya kwamba nimemzidi umri
nyie endeleeni kujifariji