Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Daah.. aisee😊
 
Jamani🤔
Meaning, offspring hatokaa ajue babaake!!!
 

Kaaazi kweli kweli walahi
 
Daah huu mtandao wamekaa kizaman sana. Aliyekujibu kule Seoul kuhusu ttcl pesa naona ni wakala wao humu kila ukiongelea ttcl anaibuka😂😂😂😂

Ni kama huku koromije,zantel kuipata mtihani mzito
Itabidi nifanye hivyo, changamoto kubwa huku zenji hakuna mawakala wa kutosha wa TTCL labda uende ofisini kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…