myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Muhimukuna wakati utaamua 'kubaki hivyo ulivyo' ni sawa sawa kabisa na KUJIAMINISHA kimoyo kimoyo kuwa HAUNA namna yoyote ile unaweza kufanya ili UBADILISHE hali yako ULIYONAYO SASA, kamwe usikubali HALI hiyo IKUNG'ATE_ endelee KUJIPAMBANIA!!!!
✅️✅️✅️ukweli ni kuwa watu wengi sana waliochukua uamuzi wa KUBAKIA KAMA WALIVYO, pasipo kuchukua HATUA huko mbeleni walijuta sana na huwa wanatamani kama wangeendelea mbele zaidi katika kuamini na kufanya!!!!
Na kufanya....ukweli ni kuwa watu wengi sana waliochukua uamuzi wa KUBAKIA KAMA WALIVYO, pasipo kuchukua HATUA huko mbeleni walijuta sana na huwa wanatamani kama wangeendelea mbele zaidi katika kuamini na kufanya!!!!
Ujumbe huonimejifunza kuwa katika maisha unaweza ukawa UNAPIGWA VITA SANA tena na watu ambao UNAWAFAHAMU kabisa sio kwa sababu ya VILE ULIVYO LEO bali HAWAPENDI na wangefurahi kama WATAWEZA KUZUIA VILE UNAVYOWEZA KUWA hiyo KESHO!!!!
Huu pia Ujumbeukweli ni kuwa watu wengi sana waliochukua uamuzi wa KUBAKIA KAMA WALIVYO, pasipo kuchukua HATUA huko mbeleni walijuta sana na huwa wanatamani kama wangeendelea mbele zaidi katika kuamini na kufanya!!!!
✔️Baada ya miezi mitatu ile mimba ya mtoto wa tano ilitoka. Kitu ambacho sio cha kawaida, Jane anasema, ni kuwa ule uchungu wa mwanzo aliokuwa nao ulikuwa haupo.
Hatua "Muhumu"...unaweza kushangaa MTU ambaye AMEKUZIDI kila kitu na bado anakupiga vita hata kwa HICHO KIDOGO ULICHONACHO, kwa HICHO KIDOGO UNACHOTAKA KUKITUMIA ILI KIKUVISHE salama kwenye hiyo KESHO YAKO ILIYO KUBWA!!!!
TAFAKARI na UCHUKUE HATUA...
📌📌kitu kimoja nachompendea HUYU MUNGU WETU ni kuwa yeyote yule anayejaribu KUSHINDANA NA MAONO ambayo MUNGU ameyaweka NDANI YAKO huwa anahakikisha anakaa upande wako na KUKULINDA HUKU MAADUI ZAKO WAKITAWANYIKA_ usikate TAMAA ENDELEA KUPIGANIA MAONO YAKO!!
Nakubali hiliunaweza kushangaa MTU ambaye AMEKUZIDI kila kitu na bado anakupiga vita hata kwa HICHO KIDOGO ULICHONACHO, kwa HICHO KIDOGO UNACHOTAKA KUKITUMIA ILI KIKUVISHE salama kwenye hiyo KESHO YAKO ILIYO KUBWA!!!!
TAFAKARI na UCHUKUE HATUA...
Nakubali piakitu kimoja nachompendea HUYU MUNGU WETU ni kuwa yeyote yule anayejaribu KUSHINDANA NA MAONO ambayo MUNGU ameyaweka NDANI YAKO huwa anahakikisha anakaa upande wako na KUKULINDA HUKU MAADUI ZAKO WAKITAWANYIKA_ usikate TAMAA ENDELEA KUPIGANIA MAONO YAKO!!
✔️✔️kitu kimoja nachompendea HUYU MUNGU WETU ni kuwa yeyote yule anayejaribu KUSHINDANA NA MAONO ambayo MUNGU ameyaweka NDANI YAKO huwa anahakikisha anakaa upande wako na KUKULINDA HUKU MAADUI ZAKO WAKITAWANYIKA_ usikate TAMAA ENDELEA KUPIGANIA MAONO YAKO!!
AiseeWanawake walio na historia ya uharibikaji wa mimba unaojirudia wanapaswa kupimwa na kutibiwa katika kituo cha afya kilicho na huduma za kipekee ili kutafuta sababu na kuwasaidia kubeba mimba hadi mwisho wa ujauzito.
✅️✅️Wakati mwingine hutokea mapema sana kiasi cha kuwa mwanamke hawezi kufahamu kuwa alikuwa mjamzito.
Maambukizi ya magonjwa ya zinaa, majeraha, vurugu, na mafadhaiko ya kiakili yanaweza kufanya mimba kutoka mapema.
Ujumbe ✔️Jane na mumewe wamehimilije ndoa ya miaka 12 na hali hii?
Kama mwimbaji Jane Aller anategemea mume wake kama mtayarishi na mwelekezi wa nyimbo zake.
Kutokana na hilo, wameletwa pamoja na hali yao ya kupenda muziki na pia hali ya huduma ya kuhubiri.Jane na mumewe wamehimilije ndoa ya miaka 12 na hali hii?
Kama mwimbaji Jane Aller anategemea mume wake kama mtayarishi na mwelekezi wa nyimbo zake.
Kutokana na hilo, wameletwa pamoja na hali yao ya kupenda muziki na pia hali ya huduma ya kuhubiri.
👍👍Mimba hutoka kwa nini?
Mimba kutoka pekee yake au kuharibika kwa mimba hutokea kwa kawaida kwa baadhi ya wanawake kote duniani.
✅️Jane anasema maisha ni kama kuendesha baiskeli , ili mtu awe na usawa lazima aendelee kusonga mbele. Kwa hivyo mambo mazuri huja kwa watu ambao wanaendelea kuwa na imani wakati ambapo hakuna cha kutumainia.
Jane Aller na mumewe Donna wanaendelea kutumai kuwa wakati mmoja watapakata mtoto wao mikononi mwao.
✅️✅️Unajua kuna watu ambao wametengana kutokana na kukosa watoto kwenye ndoa , na hata wanapoingia kwenye ndoa mpya bado wanakabiliwa na changamoto hizo hizo," anasema.
"Ni muhimu kwa watu wanaopitia changamoto hizo kuwa na subira na kudumisha hali ya kupendana na kuvumiliana," Jane anasema.
Aisee....Kando na kuwa ni mke na mume, wanashiriki katika maoni na kazi zao za kila siku ambayo ni huduma ya uimbaji.
Mwanamke huyu anasema mume wake amekuwa nguzo kuu katika maisha yake hasa changamoto hizi za mimba kutoka .
SawaKwa kawaida mwanamke anaposhika mimba, mchakato mzima hufanyika katika mfuko wa uzazi ambapo yai la mwanamke hutungishwa mbegu ya mwanamume ndani ya mfuko huo. Hapo ndipo mtoto huanza kukua. Lakini kwake Jane, mara ya pili mchakato wa kushika mimba yake ulifanyika katika mishipa ya uzazi. Mimba ya aina hiyo hujulikana kama ectopic.