Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
ππKwenye haya maisha kuna namna inabidi ujitambue wewe ni nani, unahitaji nini na ukiwa wapi, hivyo basi
1. Jitambue sifa zako za kipekee ambazo mtu akitaja hizo sifa basi kakutaja wewe (strengths) na tambua madhaifu yako ili yasije kukugharimu
βοΈβοΈHata kama utapingwa na watu wote kwa kukipambania kitu chake hicho lakini hautakiacha kwasababu unajua "kwanini unakihitaji"
ππHata kama utapingwa na watu wote kwa kukipambania kitu chake hicho lakini hautakiacha kwasababu unajua "kwanini unakihitaji"
ππFursa ni dhamana kubwa Ukiaminiwa, itumie kwa uaminifu na bidii. Kazi zako nzuri ndizo zitakazokutangaza na kukufungulia milango katika vyumba vilivyojaa fursa
SawaUkiwa na biashara yenye mafanikio usianze kudharau wateja kumbuka kuna wenzako wanatumia nguvu na gharama kubwa kupata hao wateja
Umefika...Hizo likes mnanipa au haumnipi??