myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
ππ2.Unapotwa na tatizo shughulika na mambo ambayo yapo ndani ya uwezo wako tu
β οΈβ οΈNamna nzuri ya kujizuia kuumizwa na kila kitu ni kutambua vitu hivi
1.Tambua mipaka yako inapoishia na heshimu mipaka ya watu wengine
βοΈβοΈβοΈ2.Usione aibu kwenye kutafuta hela hakuna aibu kubwa kama kukosa hela,kuomba aibu ya 2 na kunyimwa aibu ya 3. Cha msingi unatafuta kihalali usione aibu
Sahihi kabisa4. Usiwalazimishe watu wanaotaka kuondoka waendelee kuwa kwako, waache waende ili wengine wakuletee baraka mpya, hauwezi jua labda kuondoka kwao ndipo kutafungua milango yako ya mafanikio
Ni kweliShindana kwenye kutafuta hela ila usishindane kwenye matumizi
NakubalianaMaisha ni mafupi basi usiyapunguze zaidi kwa kutaka kung'ang'ania maumivu, chuki na hasira
β οΈβ οΈ6.Ondoa marafiki ambao wanaokuumiza, wanaokutumia, wanaokukandamiza na wanaokudharau
πππUpe muda nafasi ya kukutibu, ya kukujibu na kukujenga. Watu wengi hupata STRESS kwasababu ya kujilinganisha maisha yao na watu wengine na kujiona kama wanacherewa katika maisha.Upe muda nafasi yake kila mtu yupo kwenye nafasi sahihi na hakuna kuwahi wala kucherewa kwenye maisha
Sawasawa kabisa βοΈTumia muda wako vizuri kuponesha nafsi yako, Tunajua umepitia maumivu mengi makali kiasi ambacho hayaelezeki, lakini kuendelea kufikiria yaliyotokea nyuma ni kuendelea kuiathiri afya yako ya akili na mwili, Samehe na uachilie, shukuru na usonge mbele. usisahau kujifurahia
AiseeIpo siko maombi yako yatajibiwa, hustle zako zitafanikiwa, jasho lako litakaukia kivulini,Chozi lako litafutwa,kiu yako itakatika, utapata mtu atakaekupenda kwa dhati na hautakumbuka maaumivu ya nyuma, upe muda nafasi yake na kuwa mvumilivu kila kitu kitakuwa sawa tu
SawaTumia muda wako vizuri kuponesha nafsi yako, Tunajua umepitia maumivu mengi makali kiasi ambacho hayaelezeki, lakini kuendelea kufikiria yaliyotokea nyuma ni kuendelea kuiathiri afya yako ya akili na mwili, Samehe na uachilie, shukuru na usonge mbele. usisahau kujifurahia
AiseeCHUNGA MUDA WAKO KABLA YA KUJUTA BAADA YA KUUPOTEZA
1.Fanya kila kitu sasa hivi ukiwa bado unanguvu Weka hakiba, wekeza, fanya biashara, soma sana vitabu, jifunze vitu vipya ingali akili na mwili bado vina nguvu ya kutosha ya kupokea na kufanyia kazi
β οΈβ οΈβ οΈKuwa sababu ya mtu mwengine kufurahi, haujui kwa kiasi gani watu wamebeba maumivu ambayo hayaelezeki lakini bado wanaamua kuwa wema kwa watu wengine basi na wewe kuwa sababu ya tabasamu lao na cheka nao
β οΈβ οΈβ οΈKuwa sababu ya mtu mwengine kufurahi, haujui kwa kiasi gani watu wamebeba maumivu ambayo hayaelezeki lakini bado wanaamua kuwa wema kwa watu wengine basi na wewe kuwa sababu ya tabasamu lao na cheka nao
β οΈβ οΈAliyekuwa anahofia kufanya mambo yake binafsi na kuhofia watu watasemaje, sasa hivi anajuta kwa kujipotezea muda na kuua ndoto yake ya maisha kwasababu ya kuogopa watu
Sioni aibu..Usione aibu kuwa na marafiki zako wa zamani, kwasababu hao walikukubali kipindi hauna kitu na hata ukidondoka watakupokea bila kinyongo
Bila kinyongo....Usione aibu kuwa na marafiki zako wa zamani, kwasababu hao walikukubali kipindi hauna kitu na hata ukidondoka watakupokea bila kinyongo
βοΈβοΈβοΈUsione aibu kuvaa nguo za zamani km zina staha na zinakutosha, kimfaacho mtu chake
Nakubaliana ni muhimuMUHIMU: Ufaidi wakati ulionao sasa, kwasababu yaliyopita ni historia na yajayo ni majaliwa ila ya sasa ni baraka zitumie ipasavyo, ishi leo kama haufiki kesho na jitunze, jijali, jithamini, jiamini, jipende,fanya ibada na utunze fedha zako kama utaishi milele