Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

✅️✅️✅️
 
Hata ukifanya kama wanavyotaka wao hawatakushukuru, zaidi zaidi watakuona mjinga. Sasa wee endelea kutaka kuwafurahisha waliopanga kukukasirikia kwa makusudi utaishia kuumizwa tu na bado watakulaumu baada ya kukuumiza
✔️✔️✔️
 
Ujumbe bora kabisa...
 
Hata ukifanya kama wanavyotaka wao hawatakushukuru, zaidi zaidi watakuona mjinga. Sasa wee endelea kutaka kuwafurahisha waliopanga kukukasirikia kwa makusudi utaishia kuumizwa tu na bado watakulaumu baada ya kukuumiza
Sawasawa ✔️ ✔️
 
Unachokifikiria ndicho kitakacho tengengeneza hisia, na hisia zako ndizo zitachochea matendo yako. 1.Ukiwaza sana mambo mabaya daima utaishia kuwa na huzuni na utajiona mpweke, na utaingia kwenye matendo mabaya kama ulevi, madawa,kugombana, kuharibu mahusiano, kuharibu kazi
 
Ukiwa unafikiria mambo mazuri utatengeneza hisia ya furaha na faraja, utakuwa huru kufanya maamuzi sahihi, hautakuwa na hasira za ajabu, utapata usingizi mzuri, utaimarisha afya ya mwili, utaimarisha mahusiano yako, utajiamini na kujithamini na utakuwa unafanya matendo mazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…