myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✅️✅️✅️Sote tuna nafasi ya kujibadilisha na kuangalia upya thamani yetu, si kwa sababu ya mwonekano tu, bali kwa utu na matendo mema tunayochagua kila siku.
👍👍Mathayo 5:16
Vivyo hivyo nuru yenu na iangaze mbele ya watu, wapate kuyaona matendo yenu mema, wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni.
SawasawaJisemee Mistari hii 5 kila Asubuhi
1. Mimi ni mshindi
2. Naweza
3. Nimebarikiwa
4. Mungu yu pamoja nami
5. Leo ni siku yangu.
👍👍Sote tuna nafasi ya kujibadilisha na kuangalia upya thamani yetu, si kwa sababu ya mwonekano tu, bali kwa utu na matendo mema tunayochagua kila siku.
SahihiSafari ndefu zaidi kwa mwanadamu hapa duniani ni baina ya;
1. Maneno na matendo yake.
2. Akili na moyo wake.
3. Kuyahama mazoea mabaya kuelekea katika mazoea yaliyo mema.
🙏🤲Hakuna aliyewahi kumtegemea Mungu akabaki Jinsi alivyo. Umebarikiwa wewe na uzao wa tumbo lako
✅️✅️✅️Maneno na Midomo inauma tunatakiwa kujisemea Mema kila siku.
1. MIMI ni Mshindi All the time.
2. Leo ni Siku Yangu ya Mafanikio.
3. Leo ni Siku ya Kupata Cha jana na Leo.
4. Mungu ni Wetu Sote.
5. Mungu Atupe Mafanikio.
6. Mungu atuepushe na Husda.
7. Mungu atupe Watu wema.
Sahihi kabisaHakuna aliyewahi kumtegemea Mungu akabaki Jinsi alivyo. Umebarikiwa wewe na uzao wa tumbo lako
✔️✔️Kwenye ulimwengu wa MAHUSIANO, huwezi pata mwenza aliyejitosheleza.
Ukitafuta mwenye Pesa "
(power) utakuta hana muda. Ukipata mwenye Muda (care) utakuta hana Pesa.
Kibaya zaidi wote wana nafasi muhimu kwenye mahusiano, kazi kwako sasa, utachagua kuzika ama utasafirisha.
✔️✔️✔️Unapozungumza jitahidi tusikie hekima kinywa mwako, unapotenda jitahidi tuone matendo mema ndani yako, unapovaa jitahidi tuone staha kwenye mavazi yako, kila ukifanyacho kiwe katika hali ya uwakilishi wa ujumbe mwema mbele ya macho ya watu.
📌📌📌Kwenye ulimwengu wa MAHUSIANO, huwezi pata mwenza aliyejitosheleza.
Ukitafuta mwenye Pesa "
(power) utakuta hana muda. Ukipata mwenye Muda (care) utakuta hana Pesa.
Kibaya zaidi wote wana nafasi muhimu kwenye mahusiano, kazi kwako sasa, utachagua kuzika ama utasafirisha.
📌📌📌Unapozungumza jitahidi tusikie hekima kinywa mwako, unapotenda jitahidi tuone matendo mema ndani yako, unapovaa jitahidi tuone staha kwenye mavazi yako, kila ukifanyacho kiwe katika hali ya uwakilishi wa ujumbe mwema mbele ya macho ya watu.
📌📌📌Unapozungumza jitahidi tusikie hekima kinywa mwako, unapotenda jitahidi tuone matendo mema ndani yako, unapovaa jitahidi tuone staha kwenye mavazi yako, kila ukifanyacho kiwe katika hali ya uwakilishi wa ujumbe mwema mbele ya macho ya watu.
✔️✔️✔️Tumeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu, tujitahidi kutenda matendo mema ili tumrudishie Mungu sifa na utukufu wake kwa kazi yake kubwa aliyoifanya kukuumba wewe ulivyo.
📌📌📌Kwenda mbinguni haitokani na matendo mema ya kutosha au kupitia njia nyingine yoyote ile. Bali Inahusu kukubali zawadi ya bure ya Mungu ya wokovu kupitia imani katika Yesu Kristo.
✅️✅️✅️Kwenda mbinguni haitokani na matendo mema ya kutosha au kupitia njia nyingine yoyote ile. Bali Inahusu kukubali zawadi ya bure ya Mungu ya wokovu kupitia imani katika Yesu Kristo.
📌📌📌Tumeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu, tujitahidi kutenda matendo mema ili tumrudishie Mungu sifa na utukufu wake kwa kazi yake kubwa aliyoifanya kukuumba wewe ulivyo.
✅️✅️✅️Katika maisha tenda mema kwa wengine bila kutegemea malipo. Matendo mema huleta furaha na utoshelevu wa ndani. Kujali wengine na kusaidia jamii yako ni njia nzuri ya kujenga uhusiano mzuri na kuleta maana kwenye maisha.
✔️✔️✔️Tutende yalio mema kifo kipo na baada ya kifo kuna mzani utako pima mema yako na mabaya yako, tujitahidi sana matendo mema yawe mengi sana
Hili sahihiMatendo Mema Hayapotei Bure, Daima Yanarudi Kwa Njia Zisizotarajiwa.