Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mafanikio huanza kwa kiasi kidogo cha fedha, usiache kuthubutu kwa kuwa tu, hauna mamilioni ya pesa ya kuanzia kama mtaji. Siku zote hakikisha una fedha za dharula na kamwe usitumie fedha ya mtaji kwa matumizi mengine
📌📌📌
 
Kukimbia matatizo na kuogopa kushindwaJe wajua? Ukikimbia matatizo yako, siku zote yatakimbia pamoja nawe. Usikimbie tatizo, likabili na kuamka haraka kila tunapoanguka. Na epuka Kuhisi kuna mtu mwingine anahusika na furaha yako.
✅️✅️✅️
 
Ujumbe wa maana
 
✔️✔️
 
Ujumbe muhimu sana huu
 
✅️✅️
 
Kaa Chini Na Uangalie Lengo Hasa La Wewe Kulianza Jambo Hilo. Zikumbuke Sababu Ulizojiwekea Mwanzoni Kwamba Ni Kwanini Unataka Lengo Lako Litimie. Itakufanya Ujione Mpya Na Uhisi Kwamba Ndio Kwanza Unalianza!
 
Kabla Hujakata Tamaa Jiulize Ni Kwa Nini Ulianza? Na Ni Kwanini Umelipigania Kwa Muda Wote Huo?
 
Andika Vitu Vyote Vizuri Utakavyovipata Ukishalimaliza Jambo Hilo, Vipitie Kila Mara Unapotaka Kufanya Jambo Hilo.
 
Elewa Kwamba, Vikwazo Na Changamoto Ni Muhimu Wakati Mwingine! Kikubwa Ni Kujipa Moyo, Kuboresha Mipango Yako Kulingana Na Muda Na Mabadiliko Ya Dunia, Na La Muhimu Zaidi Ni Kujifunza Kutokana Na Vikwazo Na Changamoto Ulizozipata!
 
Tafakari Ni Kipi Unakiweza Zaidi? Kitilie Mkazo Na Usijali Unakosea Kiasi Gani Bali Fikiria Umepiga Hatua Gani!
 
Punguza Vitu Kichwani Hasa Vile Usivyovihitaji Zaidi. Pia Punguza Idadi Ya Marafiki Wasiokuwa Na Msaada Kwako Ambao Wengi Wao Hawatakupa Msaada Wowote Zaidi Ya Kuangalia Unakosea Wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…