The Chosen One
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 3,578
- 17,013
Kufikia kesho ntakuwa nshapona kbs.Sina uhakika kama nsamaka atapona mapema,yeye ni bingwa wa kulikoroga,sasa nijaribu kulikoroga mimi mimacho kodooo[emoji15] [emoji15] [emoji15] tchaaaa
Uuuuuuh hahahaWe achana nao, ng'ombe wameshateuliwa fanya uje uwachukue, haiwezekani uwe unavunja amri kumi. Njoo nikupe ndoa ufurahie maisha
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
Bhoke..marwa
Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu akaenda kwenye harusi ya uniq na babe S akitoka anaenda kucheza kwaito kwa GeJo hapo ndio atajua kua dunia duara[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna dalili zooote,akatoka hapo akahudhuria ya sammyluv na Quigley, na akajikuta ni mlinzi kwenye sherehe ya shimba na Jakitoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mungu jeuri jamanii....
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Mmmh haya basi mi nalalaLala mama,nisije kunywesha piriton bure[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nakumiss tu[emoji173] [emoji173] [emoji173]Niko poa love hii network hainitakii mema
Akaenda kwa ISIS,kakutana nae mama wa watu ana post mipicha ya kutisha tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilicheka sana.Kibiti na dada wa kichaga wapi na wapi kichwa??? Fweeeza mbele acha ngojera [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hadi alichanganyikiwa akaanza kuimba pambio hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Mtoto kaumizwa?! kumbuka ule usemi:Tulia daktari nimtibu mtoto mzuri we kila siku unamuundia zengwe tu ili umuache.
Sasa subiri daktari nifanye yangu mtoto kuumizwa itakuwa ni stori kama kikombe cha babu hatosikia tena
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] andjul njoo uone hukuu
Every time every day...I missed u
HahahhahaOhooooo....sasa hii dharau.Kwa hiyo huyu nilietoka kumpa dawa sasa hivi ni jini sio????
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
SHIMBA YA BUYENZE naleta ng'ombe hivi karibu nilisikia 10 ila mi nita square hao ngombe.Kichwa ni askari aliyekomaa. Kuachwa achwa huku kumempatia uzoefu mkubwa sana. Nyie chezeni tu lakini mtakuja kushangaa Nsamaka anavuta hewa ya Kibiti [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]alikoma naona[emoji23] [emoji23] kumbe ndio mana kipindi kile alikua anabaki hapa [emoji23][emoji23]ila ISIS anajua kutukomesha na ile mipicha usiku[emoji23][emoji23][emoji23]lolAkaenda kwa ISIS,kakutana nae mama wa watu ana post mipicha ya kutisha tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilicheka sana.Kibiti na dada wa kichaga wapi na wapi kichwa??? Fweeeza mbele acha ngojera [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
carbamazepine inabidi tumuombee andjul anaelekea kuwa mganga wa kienyeji kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbavu zangu jamani
Hakika,naona anataka tuingie kwenye mnyukano wa kindoa kama ilivyo kwa mtoto wa shule na mchina dhidi ya babe S[emoji23] [emoji23] [emoji23] tambo hizi utakua unamiliki mali ya kichina
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unashusha nondo balaa aisee. Andjul na Carba inabidi wajipange...
[emoji8][emoji8][emoji8]Every time every day...