Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

NAKUBALIANA NA WEWE
 
HILI SAWA KABISA
 
✔️✔️
 
Kabla hujamuhukumu mtu kuhusu maisha au tabia yake ya zamani, ebu tembea katika njia aliyopitia na anayopitia sasa, ishi huzuni yake, kicheko chake, mashaka yake na hofu yake. Pale utakapoishi haya yote unaweza kumuhukumu kwa haki"
Jili pia ni muhimu
 
📌📌
 
Kila unapolala na kuamka usisahau kuwaombea wale waliokuinua. Walitamani wale walichokupa wewe, ila upendo wao uliwafanya waone unastahili wewe kuliko wao wenyewe. Tendo hili ni Kalvari halisi, ni Upelkane wa aina yake".
Sawasawa
 
NAKUBALI

Tafsiri yako ndio uhalisia wa kile unachoamini, haijalishi wengine watakuwa na mtazamo gani juu ya jambo lako. Petro alivyoomba asulubishwe kichwa chini miguu juu, kuna wengine walidhani anampinga Bwana wake. Kibaya chao ni kizuri kwako
Sawasawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…