antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
HaswaaAkiba ya maneno ni somo kuu ambalo tunalazimika kujifunza sana zama hizi.Tofauti na awali, tunaishi katika zama ambazo mabadiliko ndio jambo la kawaida. Jambo ulionavyo leo sivyo litakavyokuwa masaa machache baadae au kesho. Ukiyasema maneno yote leo utakosa ya kukunasua kesho