Hicho kitu kina nishangaza kwa kweli
Getting serious, Ehe?So let me be!
Game of thronesSijasoma nina post kama 200 mbele za ku like sijakula msosi wa jioni sijaangalia game of thrones na power season 4 sijaongea na mpenzi wangu carbamazepine, kwa kweli nitaisoma kesho Sawa
Pokea mkwanju[emoji23][emoji23][emoji23]nisikuamshie ka nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...njoo tumalize yale maongezi basi
Aisee hakuna dhambi mbaya kama ya ubaguzi Mimi nagonga likes kila post nachukua hata masaa mawili kugonga likes nyuma sasa wewe unalalamika sitoi likesAcha achape kazi
Most welcomeThanks
[emoji124] [emoji124] [emoji124] Parapanda italia parapandaa...parapanda italia parapandaaa[emoji445] [emoji445] [emoji444] [emoji444] [emoji443] [emoji444] [emoji443] [emoji445] [emoji442] (hata sijui kama ni mahali lake sahihi...). Sisi wote ni wa Mungu aliye hai ndio maana tunaeneza upendo.Mkuu BAK,hivi hii "like" kwa kiswahili inaitwaje?Humu ni full maupendo na wala hakuna shetani sisi wote ni Mwenye Enzi Mungu
Acha ubahili kanunue simu ya maana au niombe nikupeMKUU RUTA.. USI'QUOTE KILA POST TAFADHALI. ZINAWAPA SHIDA WATU KWENYE SIMU
Hata sisiNimewamiss
Yeah!Boss boss
Ubarikiwe na like!Better that way walahi!
Na yeye kama ni mtu mstaarabu, ataelewa na kujua chemistry zetu hazikuendana
Upendo mbona wako wengi tuHebu niambie Mkuu hiyo inawezakana vipi?
Teh teh tehInakera kwakweli...ila myoya leo nisipolala kesho naja na post za malalamiko hapa mana si kwa mijoka unayotuma leo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Zingine za kwakeHahahaa hizo quotes wanazo ambatanisha na picha za mugabe zinanikosha sana
Kweli msimu huu EPL yetuMzee wa Liver anajivuna kwamba msimu huu ujao kombe linatua mtaani kwao.
My dearest usipate stress kabisa!Aisee hakuna dhambi mbaya kama ya ubaguzi Mimi nagonga likes kila post nachukua hata masaa mawili kugonga likes nyuma sasa wewe unalalamika sitoi likes
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Likes given umeangalia ngapi nimetoa acha hizo
Kula likes kwanza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kichwa kichafu dishi lako ndugu yangu mara nying linaingiaga majiKamq dose