financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Afu kweli ndoa ya Corona haina gharama, sisi na pastor tuMmh..! Nikukute makutano junction fasta ndoa ya Corona tamu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
A little bit muhuni, duh.Jina: Arqam bin Ali Al Harthi
Ethnicity: Lebanese
Uraia: Mtanzania
Pesa:Ipo
Kazi: Usafirishaji na mduka kadhaa (magari kadhaa under my family company name)
Dini:Muslim
Makazi: Upanga, Dar es Salaam
Elimu: Bachelor of Business Admin....Univ of Cyprus
Umri: 32
Marital Status: Single
Tabia: A little bit mhuni....mtoto wa mjini.
Why single: Nilitaka kuoa mwanamke wa Kibantu mama akagoma bila sababu zenye mantiq. Nikasitisha kwanza. Wakati napanga niende naye na watu wenye busara wamshauri, amefariki. So room is open. Albaabu maftooh.
Mahitaji: Mwanamke wa Kirangi, Mbulu, fyoma, Nyaturu, Chagga, or makabila ya Kaskazini the likes of Wameru et al na Wanyiramba. Awe mweupe peeee, mrefu mwili wa wastani au mwembamba.
DM
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi najua kusoma na kuandika darasa la 4 nikaachana na kero za kubeba vidumu na mafagio asubuhi unaonaje tukijikarantin mrembo
Naanza kuwa na wasiwasi na national board of statistics.
Wanasema wanawake ni wengi kuliko wanaume, ila humu kila anayeshusha cv ni mwanaume
Wadada humu wote wameolewa ama
Unawasubiri wangap?Dah, haya Corona ikiisha nawasubiri
Mmoja tuu ila ntatumia FIFO Method mkuu, First In ,First OutUnawasubiri wangap?
Tumia LIFOMmoja tuu ila ntatumia FIFO Method mkuu, First In ,First Out
Tunaogopa coronaNaanza kuwa na wasiwasi na national board of statistics.
Wanasema wanawake ni wengi kuliko wanaume, ila humu kila anayeshusha cv ni mwanaume
Wadada humu wote wameolewa ama
Basi sawa, sikujua hata kushusha cv humu unapata corona.
Dah [emoji23][emoji23][emoji23] umenikumbusha mbali sana hii FIFO METHOD!Mmoja tuu ila ntatumia FIFO Method mkuu, First In ,First Out
hivi humu hakuna wambulu? wanyaturu? wataturu? wairaq? wale warembo wenye figure namba 8, na urefu kama twiga?
zile rangi za mtume kutoka singida, dodoma, manyara, arusha?
napenda sana nipate shombe shombe nimix na hii rangi yangu ya coca jamani damn.
aliye tayari agonge like au aje pm nimpe nauli tuvutane ndani chapchap
Lawyer mwenye elimu ya advanced level!?JINSIA-Wakiume
UMRI-28
ELIMU-Advanced level
KAZI-Lawyer
MWANAMKE ninayemtaka:
Vigezo...Awe na Umbo la Wastani...Si mwembamba sana wala Mnene,Mweupe/Majikunde....Awe Mrefu ,,Sibagui Dini...mwisho awe MZURI anayejiamini
NIPM mwenye vigezo tajwa
My babe hii combination ya mpole,mcheshi,mkali duh😀😀Umri .......24
Makaz ....iringa
Kazi... .....mfanyakazi wa uma+biashara ndogo
Elimu....... level three ya electrical installation
Dini mkristo(tena mlokole)
Mcheshi,mpole,mkali,[emoji41]
kelphin kepph
Wapo ila akikupenda atakuja moja kwa moja inbox kwako, mara nyingi ni ambao sio wapayukaji na hua wanapita kimya kimya ..wapayukaji wengi na much know humu ni manunda tu na wanainjoi watu tu.Mbona humu ndani kila mtu anatafuta mwanamke. ???
Imekua adimu mtu kutafuta mwanaume
Ivi humu hamuna wanawake au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na pia Complex kama Corona virus,Mgumu kama physics
asiyependwa na watu kama math
asiwe muongo kama history
wa aina hii bila shaka atakuwepo.