Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Jina: Arqam bin Ali Al Harthi
Ethnicity: Lebanese
Uraia: Mtanzania
Pesa:Ipo
Kazi: Usafirishaji na mduka kadhaa (magari kadhaa under my family company name)
Dini:Muslim
Makazi: Upanga, Dar es Salaam
Elimu: Bachelor of Business Admin....Univ of Cyprus
Umri: 32
Marital Status: Single
Tabia: A little bit mhuni....mtoto wa mjini.
Why single: Nilitaka kuoa mwanamke wa Kibantu mama akagoma bila sababu zenye mantiq. Nikasitisha kwanza. Wakati napanga niende naye na watu wenye busara wamshauri, amefariki. So room is open. Albaabu maftooh.

Mahitaji: Mwanamke wa Kirangi, Mbulu, fyoma, Nyaturu, Chagga, or makabila ya Kaskazini the likes of Wameru et al na Wanyiramba. Awe mweupe peeee, mrefu mwili wa wastani au mwembamba.

DM



Sent using Jamii Forums mobile app
A little bit muhuni, duh.
 
Yaan hii inasababishwa na baadhi ya boys unakuta ana mademu 8 au 9 wakat huo huo kuna watu wapo single, unakuta kila mwanamke unaemfata anasema ana mtu kumbe hawajui kama ratio ni 9:1.
Naanza kuwa na wasiwasi na national board of statistics.
Wanasema wanawake ni wengi kuliko wanaume, ila humu kila anayeshusha cv ni mwanaume
Wadada humu wote wameolewa ama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JINSIA-Wakiume
UMRI-28
ELIMU-Advanced level
KAZI-Lawyer


MWANAMKE ninayemtaka:

Vigezo...Awe na Umbo la Wastani...Si mwembamba sana wala Mnene,Mweupe/Majikunde....Awe Mrefu ,,Sibagui Dini...mwisho awe MZURI anayejiamini

NIPM mwenye vigezo tajwa
 
Muwe mnatoa ata shuhuda basi mlio fanikisha kuoa/kuolewa kupitia Jf

Na ss makapera tuanze kusaka msaidizi, maana kitaa wapo pia ata umu wamo
 
hivi humu hakuna wambulu? wanyaturu? wataturu? wairaq? wale warembo wenye figure namba 8, na urefu kama twiga?

zile rangi za mtume kutoka singida, dodoma, manyara, arusha?

napenda sana nipate shombe shombe nimix na hii rangi yangu ya coca jamani damn.

aliye tayari agonge like au aje pm nimpe nauli tuvutane ndani chapchap

Tangu lini wambulu na warangi wakawa na figure no 8? Hapo ongelea rangi ya mtume na nywele. Ila wanyaturu, wameru yes
 
JINSIA-Wakiume
UMRI-28
ELIMU-Advanced level
KAZI-Lawyer


MWANAMKE ninayemtaka:

Vigezo...Awe na Umbo la Wastani...Si mwembamba sana wala Mnene,Mweupe/Majikunde....Awe Mrefu ,,Sibagui Dini...mwisho awe MZURI anayejiamini

NIPM mwenye vigezo tajwa
Lawyer mwenye elimu ya advanced level!?
Aisee, basi sawa mkuu utampata mwenye LLB muende sawa
 
Umri miaka 33
Kazi: mhandisi
Status: Nilioa ndoa ikanishinda
Naaishi Mkoa wa songwe
Nahitaji mwanamke ambae mstaarabu
 
Umri .......24
Makaz ....iringa
Kazi... .....mfanyakazi wa uma+biashara ndogo
Elimu....... level three ya electrical installation
Dini mkristo(tena mlokole)
Mcheshi,mpole,mkali,[emoji41]


kelphin kepph
My babe hii combination ya mpole,mcheshi,mkali duh😀😀
 
Mbona humu ndani kila mtu anatafuta mwanamke. ???
Imekua adimu mtu kutafuta mwanaume
Ivi humu hamuna wanawake au?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo ila akikupenda atakuja moja kwa moja inbox kwako, mara nyingi ni ambao sio wapayukaji na hua wanapita kimya kimya ..wapayukaji wengi na much know humu ni manunda tu na wanainjoi watu tu.
 
Back
Top Bottom