Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Mkuu hakuna kitu kinaitwa HIV+ ,,,,huyo jisevie mwenyewe tu.
 
Rudia nyuma yangu...watu hawako sawa,ukomavu wa mwanamke au mwanaume inategemeana na vitu vingi hasa mazingira,elimu n.k

Mwanaume au mwanamke 18+ yuko tayari ni mtu mzima na kapevuka pia majukumu ya kifamilia ndo yanamjenga mtu
NAKAZIA
 
Katika maisha ya kimahusiano huwa naamini hakuna formula ya kusema mke/mme lazima umpatie sehemu fulan,waliomo humu jf ndio waliopo mtaani japo wengi humu hawapo kwenye uhalisia wao lkn wapo wakweli,hivyo basi na sina budi kutangaza,

Wasifu wangu

Dini:RC
Umri:38
Elimu:Nina elimu ya kujua kusoma na kuandika
Makazi:Arusha
Jinsia:male
Kazi:mjasiriamali

Nahitaji mke wa kuoa awe na elimu yeyote ila anaejitambua na kuelewa nin maana ya mume,mrefu kiasi rangi yeyote ila mweupe atapewa kipaumbele zaidi asiwe mnene awe portable kiasi chake,umri kuanzia 25 to 30,mengine yanajadilika so alie serious namkaribisha pm ,

Nb:sijawahi kuoa ila nimebahatika kupata mtt mmoja wa kiume
 
binti/mwanamke alie tayari tuvutane ndani

mahari ntatoa baadae life likiwa sawa

nipo Dar

0759330110
 


Mimi ☝️
 
Umri: 23
Elimu: Degree
Sina mtoto
Natafuta : sugar mamy
Nipo dar
Jamani msicheke wala kukebehi kila mtu na akipendacho maisha yenyewe mafupi aya. Tuelewe kila binadamu ni tofauti na matamanio ni tofauti kama wewe unapenda nyama usituponde tunaopenda samaki.
 
Haupendi sugar daddy? Yupo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…