Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Nimeona tuazishe hii mada, nawaonaa single wengi wa JF wakioana mwaka juu kwenye ulimwengu wa Rohoo. La maana usiogope mwenza wako unampata wapi pengjne Mungu ameachilia ili na wewe uitwe mke ama mume

Tafadhali karibu tushare mada jitambulishe na msiogope kufwatana inbox hayo Nndio mapenzi mema. la maana msichezeane.

Naona kadi nyingi za mwaliko wa harusi inbox na sio za mchango pls kuanzia leo hapa JF

KUMBE NDOA ni lazima uitafute haiji kama kifo
 
NB;
Mwaka HUU NAPOKEA kadi za mwaliko tu na sio mchango tafadhalii
kila.LA kheri wotee
 
Mkuu toa muongozo ni namna gani tunaboresha hii jamii yetu bila jamii kututazama kwa mtazamo hasi. Katika nyumba za kupanga tumefanikiwa awali kigezo ilikua lazima uwe na mwenza ila kwa sasa wenye nyumba wengi wanatukimbilia tujipongeze kwa hili.
 
Tutapata soon idea zitakuja mkuu ngoja tusubiri wadau maana hata ZILE guest aziko tena na vibango onyesha cheti cha ndoa
 
Hahahaaaa mkuuu n ktkt kupungyza idadii yah zinaa ingawa kuondoà NGUMU tusaidie wenyekuwezà kusaidikaa mkuu
 
SIMBAYA KUJUANA KWA STYLE
HII
PDIDY
SINGLE
MAN/FEMALE
LKN FOR ..,....FRM.JF
INBOX......
MENGINEYOO
UNAMWACHIA.MUNGU KWA WATAKAOKUJA
LAZIMA TUPUNGUZE IDADI YA MASINGLE.MWAKAHUU TUONE NDOA BORA KABISA ZA JF
 
Unajua kucheza na comments mkuu🤝🤝🤝
 
SIMBAYA KUJUANA KWA STYLE
HII
PDIDY
SINGLE
MAN/FEMALE
LKN FOR ..,....FRM.JF
INBOX......
MENGINEYOO
UNAMWACHIA.MUNGU KWA WATAKAOKUJA
LAZIMA TUPUNGUZE IDADI YA MASINGLE.MWAKAHUU TUONE NDOA BORA KABISA ZA JF
Vipi wewe umeoa /kuolewa mkuu
 
Aisee tulio "singo" pengine ndo wakati wetu huu kuwa "dabo". Mwaka wa matukio huu. Karibuni jamani.[emoji23]. Milango ya ofisi ipo wazi 24 hrs .
 
Aisee tulio "singo" pengine ndo wakati wetu huu kuwa "dabo". Mwaka wa matukio huu. Karibuni jamani.[emoji23]. Milango ya ofisi ipo wazi 24 hrs .
Mwaka wa.mafurikoooo huuuuu
Naonaaaa stationary za jf zikiteseka kutengeneza kadii za michango na ndoaa

WENYE stationary kazikwenuu
 
Wajanepiaa.mnakaribishwa
Preta kama unamjua.mjane YOYOTE tutambulishwe HUMU jamani
Hawa n thawabu KUBWA kwa mola
Usiulize mwenza amekufa na nn fwata moyoo UNATAKA nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…