financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Mbona hueleweki Baraka !una miaka 29 au 35?Umri: 35 yrs
Kazi: mfanyabiashara+ mtumishi
Elimu : degree + master in public health
Location : kimara (DSM)
Dini : Muslim
Sifa za mke
Umri :23-29 yrs
Kazi : awe nayo asiwe nayo ntamuweka sawa
Elimu : angalau kidato cha nne onwards
Location : popote anapotoka
Dini :yoyote ( kama mkiristo ndoa ya kiserikal itafuata mkondo)
Karibuni kwa wahitaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
ki ukweli mm nina miaka 29 Elimu kidato cha nne,,, ila humu wengi mnataka wenye degree kwa hyo na mm naenda na beatMbona hueleweki Baraka !una miaka 29 au 35?
Ooh unahisi kuongea tofauti na sifa ulizonazo itakusaidia? Ama ndiyo utaishia kuonekana muongo baadaye umeshakubaliwa una degree kumbe uko na O level😜, nilikua serious nije pm tuyajenge ila ndiyo kama muongo muongo hivi mmh byee🤔ki ukweli mm nina miaka 29 Elimu kidato cha nne,,, ila humu wengi mnataka wenye degree kwa hyo na mm naenda na beat
si umeona badala uangalie uanaume wangu we unaangalia elimu yangu[emoji848]Ooh unahisi kuongea tofauti na sifa ulizonazo itakusaidia? Ama ndiyo utaishia kuonekana muongo baadaye umeshakubaliwa una degree kumbe uko na O level[emoji12], nilikua serious nije pm tuyajenge ila ndiyo kama muongo muongo hivi mmh byee[emoji848]
Aisee!Natafuta mume.
Sifa awe anapumua tu nshachoka mie
Uongo wako ndiyo umefanya nisije, ungesema tu una o level yako kwani shoda iko wapi, ila umekiri kabisa umedanganya 🤔si umeona badala uangalie uanaume wangu we unaangalia elimu yangu[emoji848]
Mimi nasubiri upotee njia, ujikute PM kwangu!Uongo wako ndiyo umefanya nisije, ungesema tu una o level yako kwani shoda iko wapi, ila umekiri kabisa umedanganya [emoji848]
Nimeshapotea mkuu nakuja soon😀Mimi nasubiri upotee njia, ujikute PM kwangu!
sa si ndo nishasema hapo we mrembo mbona unanifanyia visa,,, au nije mm DM ukoUongo wako ndiyo umefanya nisije, ungesema tu una o level yako kwani shoda iko wapi, ila umekiri kabisa umedanganya [emoji848]
Cha msingi uhai.Nimeshapotea mkuu nakuja soon[emoji3]
kweli kabisaCha msingi uhai.
Nxur hyokweli kabisa
Taratibu usifokeOoh unahisi kuongea tofauti na sifa ulizonazo itakusaidia? Ama ndiyo utaishia kuonekana muongo baadaye umeshakubaliwa una degree kumbe uko na O level[emoji12], nilikua serious nije pm tuyajenge ila ndiyo kama muongo muongo hivi mmh byee[emoji848]
Hivi mkuu hapo nimefoka kweli? Mbona umkorofi wewe😀Taratibu usifoke