Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Umri: 35 yrs
Kazi: mfanyabiashara+ mtumishi
Elimu : degree + master in public health
Location : kimara (DSM)
Dini : Muslim
Sifa za mke
Umri :23-29 yrs
Kazi : awe nayo asiwe nayo ntamuweka sawa
Elimu : angalau kidato cha nne onwards
Location : popote anapotoka
Dini :yoyote ( kama mkiristo ndoa ya kiserikal itafuata mkondo)
Karibuni kwa wahitaji

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
Mbona hueleweki Baraka !una miaka 29 au 35?
 
ki ukweli mm nina miaka 29 Elimu kidato cha nne,,, ila humu wengi mnataka wenye degree kwa hyo na mm naenda na beat
Ooh unahisi kuongea tofauti na sifa ulizonazo itakusaidia? Ama ndiyo utaishia kuonekana muongo baadaye umeshakubaliwa una degree kumbe uko na O level😜, nilikua serious nije pm tuyajenge ila ndiyo kama muongo muongo hivi mmh byee🤔
 
Ooh unahisi kuongea tofauti na sifa ulizonazo itakusaidia? Ama ndiyo utaishia kuonekana muongo baadaye umeshakubaliwa una degree kumbe uko na O level[emoji12], nilikua serious nije pm tuyajenge ila ndiyo kama muongo muongo hivi mmh byee[emoji848]
si umeona badala uangalie uanaume wangu we unaangalia elimu yangu[emoji848]
 
Hello everyone,

I am looking for a wife material,mrembo,anayevutia hasa..its my hope that I will meet you here..kama tukimatch vizuri tutafunga ndoa kubwa mwaka huu huu...maana ndoa yangu inasubiriwa na ukoo mzima(serious).

Kigezo cha muhimu uwe mzuri maana nikioa sitaki habari za kuchepuka kisa nina mke mbaya,nataka nitulie na mke wangu tu niongeze juhudi kutafuta pesa,kulea familia na kuenjoy maisha na mke wangu tu.

Familia yetu itakuwa mfano wa kuigwa eee Mungu ukasimamie hili,Amen🙏

SIFA ZANGU
Umri:33 years
Marital Status:Single,sijawahi kuoa
Height:Tall
Body size:Size ya kati(si mnene wala mwembamba..mwili wa kiume)
Colour:Maji ya kunde
Kabila:Msukuma
Education:Bachelor Degree
Kazi:Nimeajiriwa/nimejiajiri pia
Dini:Mkristo-KKKT
Makaz: DSM

SIFA ZA MKE WANGU MTARAJIWA
Umri:asizidi miaka 30
Height:Size ya kati au mrefu
Colour:Maji ya kunde au mweupe
Body size;Awe na muonekano wa kike..kishape/shape ya kike..avutie..hii ni muhimu sana kwangu...mwanamke ni fahari ya familia yangu.
Kazi:Awe ameajiriwa au kujiajiri
Elimu:Kuanzia form four na kuendelea
Dini:Yoyote,kama si mkristo awe tayari kubadili kuwa mkristo
Kabila:Sibagui
Makazi:Akiwa anaishi Dar es salaam na maeneo jirani ni vizuri zaidi,maeneo mengine mbali na Dar nitaangalia sifa zingine kama zinatosha utakuwa mke wangu.
AWE MZURI NA ASIWE NA MTOTO/WATOTO

NB: Niko Serious sitanii juu ya hili,huu ni mwaka wangu..so Karibu PM mke wangu mtarajiwa tufahamiane zaidi 🤝🤝
 
Umri: miaka 28
Elimu: Degree
Kazi: muajiriwa sekta binafsi
Dini: Mkristo

Sifa za mke
Umri: 20-26
Elimu: yoyote
Kazi: yoyote hata asipokua na kazi sawa
 
Umri:22
Dini:Mkristo
Makazi:Kijenge juu Arusha
Elimu😀iploma in Journalism
Asili:Msomali
Uraia:Mtanzania
Kazi:Ndo natafuta ila kuna sehenu nimejishikiza
Sifa:Mcheshi,Muelewa,Nnajali

Sifa za msichana
Miaka:18-22
Awe Mwarabu/Koko,Mhindi au Msomali
Elimu:Yeyote
 
Back
Top Bottom