Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Almost FT
Uganda 2
Niger 0
 
Wamechukulia poa.
Inamaana kwao 3.4b sio kitu kabisa
Mambo mengi na mashindano mengi, wameona hii vita waachane nayo. Wachezaji siyo mashine. Halafu ligi yao imeanza kwa hiyo mbele huko ratiba za msimu hazitawasumbua.
 
Mambo mengi na mashindano mengi, wameona hii vita waachane nayo. Wachezaji siyo mashine. Halafu ligi yao imeanza kwa hiyo mbele huko ratiba za msimu hazitawasumbua.
Wameana ligi mapema.
Lakini naona hata wachezaji wengi wa Wydad hawajajoin National team.
Kina Amrabat au hajawa na sifa?
 
Wameana ligi mapema.
Lakini naona hata wachezaji wengi wa Wydad hawajajoin National team.
Kina Amrabat au hajawa na sifa?
Nilitaka kusema hata Morocco pia ingawa nadhani wameokotaokota wa Wydad, As Far, Raja na Berkane ila siyo kivile.

Nadhani kwa ukanda ule Algeria ndiyo yuko serious zaidi. Anaona waarabu wenzake wanamfunika sana siku hizi, anakitaka kikombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…