Shamrashamra zipi?kwa kweli tumefeli sana kwenye maandalizi na shamrashamra kijumla. It was our chance to prove our self
Shamrashamra zipi?
Sio wanacheza kasarani kisiraniGame ya saa Tisa.
Kenya Vs DRC
Nyayo Stadium
Kenya v DRCmkuu umewhi ona alau kwenye television au mitandaoni panapokuwa na mashindano mfano wa haya kwenye nchi za watu?
Yaan unamaanisha wamechukua wachezaji wanaocheza Chandimu au sio?Kwenye Fotmob Ukiangalia lineup kikosi cha Bukinafaso kimejaa vivuli wakati sisi asilimia kubwa wachezaji sura zipo hakuna vivuli, nimegundua wabukinabe kikosi Chao ni full amateurs, nimeona ni wawili tu system inawatambua but the rest ni kama mimi tu.
Wanazingua kinoma,wanakatakata kama kipindi cha JK kurudi nyuma.Tanesco nao wanazingua pande hizi niliko.. game sidhani kama nitaiona
Hatari sanaTanesco nao wanazingua pande hizi niliko.. game sidhani kama nitaiona
Hao ndo wagumu kwenye kundi BKikosi cha CHAN cha Central Africa Rep naona kipo transit Nairobi wanakula kula mikate na soda, hawa wanaonekana wadhaifu mno...
Star watawapiga hawa kama ngoma...
View attachment 3428908