Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

32'
DRC wanapata kona, inakuwa butu
0-0
Hii timu ya wakongo iliwahi kuwa na Ibenge na ikafanya vizuri kweli kweli.
 
Imepigwa cross nzuri sana na Kenya.
 
Mtanzania hajawahi kuzikubali juhudi za Mtanzania mwenzake. Lazima atafute kitu chochote kile cha kuunderstimate hayo mafanikio.
Upo sahihi sana mkuu wabongo baadhi wana itikadi fulani za uchawi uliochanganyika na ushirikina ndio km huyo hapo, kiufupi unaweza ukamuita mwanga au mchawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…