Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

45'
Additional 4'
0-0
 
Upo sahihi sana mkuu wabongo baadhi wana itikadi fulani za uchawi uliochanganyika na ushirikina ndio km huyo hapo, kiufupi unaweza ukamuita mwanga au mchawi
Ndio mkuu, jamaa anashindwa hata kujiuliza inakuaje Ligi ya Burkina Faso inatoa wachezaji wengi sana Ulaya kuliko ligi yetu.

Ukiwa na chuki unakuwa huoni.
 
Duuuh! kawapa kazi kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…