Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Duh umenifungua. Nilidhan wachezaji leagues za afrika kote sio nje ya Africa.
Nafikiri msimu huu ni kwa wachezaji wa ligi za ndani ya nchi husika tu.
Ni nzuri pia
 
2nd Half
DRC wamebadilisha wachezaji wake wawili.
Game On
1-0
 
46'
DRC wanapata free kick nje kidogo ya kiduara cha kona.
Inapigwa anapanchi kipa wa Kenya.
Game On
1-0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…