Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Kasongo yupo uwanjani
Na jezi yake hapo, anawaangalia GenZ leo wanamsapoti πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Ila michuano ikiisha watamuuliza hizo 11b alikuwa azitoe wapi!!
 
Congo wamekosa goli wanabutu tu

Dakika 76'
 
Tunaisubiria AFCON 2027 kwa hamu sana.
 
Na jezi yake hapo, anawaangalia GenZ leo wanamsapoti πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Ila michuano ikiisha watamuuliza hizo 11b alikuwa azitoe wapi!!
Hahaha alikua anazitoa wapi
 
77'
Yellow kadi kwa Mchezaji wa DRC
Kenya wanalata free kick sio mbali sana na 18.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…