Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

79'
Kenya wanafanya mabadiliko ya Wachezaji watatu.
 
80'
Yellow kadi kwa Kenya.
Obstruction imefanyika kwa goli kipa, kumzuia asigawe mpira haraka
 
Sakari, miguu haina nguvu
 
Japokuwa ni offside lakini kapiga nje πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
84'
Kenya wanaruhusu kona zakujirudia
1-0
 
86'
DRC wanapata free kick nje kidogo ya 18
1-0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…