Uzi maalumu wa kutoa maua kwa Members mbalimbali wa JF

Ni kweli babu! Sehemu ya kupiga story mimi ni humu jf
Natulia zangu chumbani kimya
Yeah ni kweli, wengi wapo hivyo

Siku hizi hata mkialikana kwaajili ya Kahawa, unakuta Kila mtu yupi busy kuchat na simu yake

Hata kupiga story pamoja kunakosekana πŸ™Œ

Bora turudi Mwaka 47 tu 😜
 
Should direct your attention and suspicion to Member Nyani Ngabu, he is just too smart ( my apologies Mkuu Nyani Ngabu)

 
Maua yangu yaende kwa bro Kiranga tukiacha chit chat, mara nyingi nikihitaji afya ya ubongo lazima nimpitie kiranga.
Huyu jamaa ni genius.
Ana madini sana.

Mwingine babuu Grahams huyu hata nimtanie vipi hajawahi kukasirika zaidi anaishia kucheka 😹😹
Na bro wangu Gee Glenn tukiondoa ukorofi wangu ila bado hajawahi kunichukia.!!

Yupo dada yangu ananipenda mpk najihisi mimi ni lastborn wao Joannah
Yupo uduguu wangu cocastic huyu naye ana kitu atafika mbali.!!
Nkamu wangu Saint Anne πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hapa kwanza imebidi ncheke au basi.

Wizo BICHWA KOMWE - huyu akianza kunitag mpk najuta hata akitukana watu ananitag 😹
Dogo langu kibuyu Deleted01 huyu siku nikifa ndo atawapa taarifa

Mwisho wana jf wote nawapenda hata km sijakutag ila eleweni nawapenda 😍😍😍

Huyo mliyetaka nimtag, mtag wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…