Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Hii ya kutumia unga wa muegea kuongeza mwili, na kwa mtoto mwaka mmoja inafaa?? Kipimo chake ni kipi na kwa muda gani??

Dolla_Mbili
Baba Vladmir
 
Mzizi ya mbaazi, ukichanganya na kifumbazi ukachanganya nusu kwa nusu, ukakausha kivulini utapata unga laini, tumia kijiko kidogo kwenye uji kwa siku 30, hata uwe umerogwa vipi uchawi wote utakufilia mbali na utakuwa huru.
Kivumbasi unatumia majani au mizizi?
Na je, unachannganya kabla ya kusaga au baada ya kusaga?
 
Shukrani sana nimejifunza kitu kupitia bandiko hili, asante sana kwa ku changia. Mola akulipe, Amiin

The best ever.
 

Pitia apa Kwa masomo na madarasa mazuri zaidi kuusu afya yako
 
Baba yangu anasumbuliwa sa
naa na hii kitu nifanyaje??
 

Attachments

  • IMG-20260213-WA0106.jpg
    24.2 KB · Views: 19
Unamaanisha Hijama Therapy???
 
BIN NUN Crocodiletooth dawa ya pressure ya kupanda please. Ishuke iwe kawaida,
Hibiscus Tea au Onion Tea, au beetroot juice/tea, au Green tea ya kitunguu saumu, tangawizi, green apple, mboga yoyote fungu moja, turmeric/manjano kiasi..... Any of these..... Rekebisha mlo wako, acha kupikia mafuta ya mbegu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…