Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Hii kitu naihitaji, nimeku pm pia.
 
Tiba ya mtoto kuumwa tumbo analalmika maumivu chinj yaa kitovu. Hospital wamesema hyprol?
 
Maumbile yanapokuwa madogo mno abnormal, huwa kuna dawa zake maalumu zinazousisha nyeti za mbuzi na baadhi ya mimea, hili sifanyi mimi ispokuwa nimeshuhudia pahala! na kweli kijana akawa fit na uume ukawa size ya kiwango cha kibinadamu.
Niombe connection ya mhusika ili niongee nae
 
mkuu kufukiza kwa sandarusi ndo kufanyaje
 
Maumbile yanapokuwa madogo mno abnormal, huwa kuna dawa zake maalumu zinazousisha nyeti za mbuzi na baadhi ya mimea, hili sifanyi mimi ispokuwa nimeshuhudia pahala! na kweli kijana akawa fit na uume ukawa size ya kiwango cha kibinadamu.
Naomba tiba kwa kizazi (uterus)kilichoshuka mkuu.changamoto ilitokana na zoezi la kujifungua .ni mwaka sasa hakija panda
 
Tiba ya mtoto kuumwa tumbo analalmika maumivu chinj yaa kitovu. Hospital wamesema hyprol?
Asali original ya nyuki wadogo, + kiasi kidogo sana cha magadi ya asili, mpe asb na jioni kijiko cha chai
 
Wakati nikipekuwa, Anza kunywa majani ya mpera chemusha!, baada ya siku 30, ulete mrejesho!
Mmmh!watu mna elimu kwakweli,hongera,yani hii dawa nilianza juzi na matokeo nimeanza kuyaona. Naomba tu mpaka namaliza mwezi basi Mungu asaidie kizazi kiwe kimerudi sehemu yake kiukamilifu.

Naona na urethra ilikua imeonekana kidogo kwa nje nayo naona inakaza na kurudi ndani,sio SAWa na awali ilikua wakati wa haja ndogo inatoka kwa urahisi,saivi haja ndogo naweza kuicontrol.
Itabidi huu mmea utupe elimu zaidi tuujue,mpera uko vizuri mno
 
Nashukuru sana, mpera by nature una viasili muhimu vinavyoimarisha mwili wa binadamu kwa ujumla wake, ukitaka uwe binadamu imara, usiopigwa na maradhi Huku mwili ukiwa imara sana, Fanya kama ndiyo kitu ukipendacho kila wakati, utafurahi sana na mwili utakazika, hutarepweta minyama haraka.
 
Ok utupe mrejesho bibie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…