bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 9,530
- 20,988
Kocha kutimuliwa ni kawaida labda kwako ni ajabuHana lolote aende kama hajafukuzwa kama mbwa nimekaa pale
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kocha kutimuliwa ni kawaida labda kwako ni ajabuHana lolote aende kama hajafukuzwa kama mbwa nimekaa pale
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Why mwaka mmoja baadae aanze kuwasumbua?View attachment 2669111
Rasmi, imethibitishwa
Denis Kibu([emoji1241],24) ameongeza mkataba na Simba sc kwa msimu mmoja zaidi. [emoji881][emoji294]️ #SimbaSc
Mazungumzo yalikuwa ya haraka sana kwani alitaka tu kubaki - mkataba mpya hadi Juni 2025.
[emoji599]Fahamu
Mkataba wa sasa wa Kibu unaisha Juni 2024
Amka usingizini, nani kakwambia Azam hawajamtangaza kocha wao mpya?View attachment 2672779
Kama masihara nabi anaenda na benchi lote la ufundi kwenda Azam. Uko anaungana na mastaa kibao.
😀😀😀Kama kuna vitu unafikiria havitakaa viwezekane kwenye maisha yako basi na hili la Pitso ongezea tu..!
Hii namba mbili ndio yenyewee😀😀😀wwtapitisha mabakuli Yao ya mihogoEndapo hilo likiwezekana basi tutegemee mambo mawili
1. Economic depression
2. Returning of bowl
Ni dhambi mchezaj kuchezaj kwa mkopo?Dah! Ifikie wakati sasa hii timu ya Simba nayo ipunguze njaa. Yaani imekuwa kama Ihefu Fc!
Baleke anacheza kwa mkopo! Halafu bado mnataka muongeze mchezaji mwingine tena kwa mkopo! Shida iko wapi ndugu zangu? Au no money!!!
Tuazimeni b 1Dah! Ifikie wakati sasa hii timu ya Simba nayo ipunguze njaa. Yaani imekuwa kama Ihefu Fc!
Baleke anacheza kwa mkopo! Halafu bado mnataka muongeze mchezaji mwingine tena kwa mkopo! Shida iko wapi ndugu zangu? Au no money!!!