Why mwaka mmoja baadae aanze kuwasumbua?
 
Maoni: Kama Bercane wanatamchukua lomalisa ni manufaa makubwa /faida kwa Yanga maana Timu itapata manufaa(faida), kwani kupitia mauzo ya Tuisila Kisinda Timu ilipata faida ya kuleta wachezaji Kama wawili Fiston kalala mayele akiwemo.

Upande wa lomalisa Mutambala akienda Berkane Kama ataonyesha uwezo mzuri itakua manufaa kwake lakini akiyumba tutegemee kumuona benchi maana Timu za MOROCCO hazina uvumilivu hayo tumeyaona kwa Chama alienda akarudi na Tuisla Kisinda akatupwa kwa mkopo

Kama tetesi ni za kweli na ofa nzuri Yanga wachukue hela.
 
Endapo hilo likiwezekana basi tutegemee mambo mawili

1. Economic depression
2. Returning of bowl
Hii namba mbili ndio yenyewee😀😀😀wwtapitisha mabakuli Yao ya mihogo
 
Dah! Ifikie wakati sasa hii timu ya Simba nayo ipunguze njaa. Yaani imekuwa kama Ihefu Fc!

Baleke anacheza kwa mkopo! Halafu bado mnataka muongeze mchezaji mwingine tena kwa mkopo! Shida iko wapi ndugu zangu? Au no money!!!
 
Wachezaji wa nenda rudi hua sina Imani nao
 
Dah! Ifikie wakati sasa hii timu ya Simba nayo ipunguze njaa. Yaani imekuwa kama Ihefu Fc!

Baleke anacheza kwa mkopo! Halafu bado mnataka muongeze mchezaji mwingine tena kwa mkopo! Shida iko wapi ndugu zangu? Au no money!!!
Ni dhambi mchezaj kuchezaj kwa mkopo?
Lukaku mkopo.inter pale
Wegost united
Joao pale Chelsea
Sio dhambi wala
 
MAKOSA ya kiufundi.

Siasa zimeingia kwenye mpira.

Hawana kiungo mkabaji 6, hawana Beki WA kati 5.

Mawinga WATAKUWA 11.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…