UZI MAALUMU: Wanawake wote ambao wana msongo wa mawazo kwa sababu ya kutoolewa mkutane hapa

Toka kugawana bar ya urithi wa Babu yako mpaka kugawana taifa?
 
NAHITAJI MWANAMKE MWENYE UHITAJI WA DHATI KABISA WA KUWA NA MUME.

VIGEZO:
1. Kuanzia miaka 28.
2. Kama single Maza asizidi mtoto 1.
3. AWE TAYARI KUPIMA UKIMWI PAMOJA

KARIBU SANA 🙏
Mhmm.!! Kwa vigezo hivi ww utakuwa bonge la FURUSHI 😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…