UZI MAALUMU: Wanawake wote ambao wana msongo wa mawazo kwa sababu ya kutoolewa mkutane hapa

Shukrani ya nini wakati stress za kutosha? Nachoshukuru ni nini yaani sijaelewa.
Kwamba ukiolewa ndo unapata ticket ya kwenda mbinguni?
Wee nani amekwambia kuna binadamu anaenda mbinguni? Wee raha yake sii ukitaka tuu de liboloz unapata alafu unapewa hela tuu wakati wenzio wanalazimila kutumia hela zao wenyewe na kutumia matango kujikuna
 
Hatari sana yani changamoto za ndoa wapitie wanawake ila wanaoumia na kujifanya wanajali ni wanaume, siku wanawake wakija kushituka na kulijua lengo hasa la wanaume kujifanya wanajali matatizo ya wanawake basi tutakuwa tumepiga hatua moja mbele, kwa sasa endeleeni kudanganywa kwamba eti mwanamke akishafika umri fulani hajaolewa basi ana matatizo (ambayo mpaka leo hayajulikani ni yepi)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…