UZI MAALUMU: Wanawake wote ambao wana msongo wa mawazo kwa sababu ya kutoolewa mkutane hapa

UZI MAALUMU: Wanawake wote ambao wana msongo wa mawazo kwa sababu ya kutoolewa mkutane hapa

Mimi Nahitaji Mwanamke but not Single Mother
Awe tu amechelewa kuolewa 30 - 40 yrs
Sio wale wa kula starehe lakini
Kuna wale walichelewa kuolewa sababu walikuwa watu wa kula starehe Na kuchagua mwanaume wa kuwaoa bila kuangalia muda.
Huyo Sitaki.
Nataka mtu aliyetamani kuolewa amejitunza Ila kashangaa tu muda umeenda.
Awe mweusi
Asiwe mfupi
Asiwe mwembamba
Awe mashallah ( sio tusi)
Asiwe mchaga
Asante.
 
Wee njoo bwana tuliwazane tena na hovi unapenda ya ga basi ah full burudani mwananchi sie kujifungia ndani tunacheki yanga anavyo wanyanyasa wekundu wa msimbazi
Hahahaaa. Mi siko huo upande wenu we Mzab. 😀

Zidi kuweka kambi utapata wa kukufaa japo upunguze mipost yako inayohusu mb*susu sa.
 
Back
Top Bottom