Lakini si kweli
Member
- Jun 18, 2025
- 84
- 151
ππππ Niliwahi Hadi kuwa mhasibu wa hela za changizo lake ili apate vyeti vyake na nilienda Hadi chuoni alikosoma daahRIP Mpauko tutakukumbuka Daima
skuona vzuri mkuu soreHahahah kwamba nimedanja bwashee ππ
DC mama zuri kamkataza kutumia Jf
Mtu wa like kwa uzi wowote. If you are alive resurface please.
πΉπΉπΉ Jamani kwanini lakini anakuwa hivyo?DC mama zuri kamkataza kutumia Jf
Hawa jamaa wana madini sana, wamekuwa kimya muda mrefu