Uzi wa kuwakumbuka wale waliotangulia mbele ya haki pamoja na mambers ambao hawajaonekana jukwaani kwa muda mrefu.

Wapo

Lakini kuna Uzi maalum wa waliotangulia mbele ya haki
Ni kweli Mkuu wapo lakini humu kwa hizi id's hawasomeki. Masanilo nilishawahi kuonana naye kipindi anatoka UK. AshaDii nadhani ni moja ya member wa management ya huu mtandao. Cha ukorofi Yo Yo sijui yuko wapi πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Bila kumsahau VUTA N'KUVUTE Mzee Tupatupa wa Lumumba, safarini Buhigwe! Huyu mwamba sijui kapotelea wapi? Au alipata uteuzi nini pale Lumumba?
 
Miguu ya Kuku pumzika ,Dunia Pasipo Na Machungu Kamwe Ni Ngumu Kuielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…