Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

Ndugu zangu, mambo yanazidi kufunguka sana. Mara baada ya jamaa mmoja kutoa nafasi ya kazi kwa muuza uji, sasa ametokea mwingine anayo ya kukaanga chapati.

Vipi wasomi, hatuwezi tukajishikiza kwenye hizi huku tukiendelea na kuomba kazi huku tukihudhuria Saili?
Fursa nzuri sana hii, nina imani watu wataichangamkia
 
Kwahyo hawa Binge hawajatoa results Hadi Leo.. mbona wanachosha watu waendelee kukaa Dom Hali ya kuwa wengi itabidi gari iwaache..!!
Naona ingekuwa poa Leo mapema wangekuwa wametoa majibu ili watu wasiingie cost tena ya guest.. au nasema uongo jamani...?
Kweli mkuu.

Sisi wenyewe tumeambiwa matokeo hadi kesho jioni, kwa hiyo tunalala huku leo na kesho uwezekano wa kulala huku pia utakuwepo endapo wakitoa hayo matokeo mida ya usiku
 
Cha msingi mimi ni kitokata tamaa nina imani kubwa mno ipo siku,,,Hizi written hua ni changamoto usipo kuwa makini unaeeza jikuta unaacha kabisa kuhudhulia saili nyingine,,,Saili ambayo sitosahau ni ya Takukuru watu 20k nafasi 200 na watu kalibia nusu walihudhulia ilinifanya niwe strong sana,,,,

Duh! Sawa Mkuu. Hizi kiuhalisia huwa ni kweli wanashika karatasi za watu wpte hao kusahihisha au wanakadiria tu alama!?
 
Kwahyo hawa Binge hawajatoa results Hadi Leo.. mbona wanachosha watu waendelee kukaa Dom Hali ya kuwa wengi itabidi gari iwaache..!!
Naona ingekuwa poa Leo mapema wangekuwa wametoa majibu ili watu wasiingie cost tena ya guest.. au nasema uongo jamani...?

Ni kweli kabisa Mkuu uko sahihi. Nadhani shida iko hapo kwenye kufanya marking, hiyo nafasi inahitaji wachache sana na imeombwa na wengi.
 
Mbona jana ile ile walitangaza kwamba leo wanatoa za madereva na result za watu wengine ni hadi tarehe 7.hao walioamua kubaki huenda wana uhakika na walichoandika ila me binafsi nilichoandika nakijua ndio maana nikaamua kujiondokea tu.

Hahaha, Mkuu komenti yako imewasilisha maamuzi magumu uliyoyafanya ila kwa namna ambayo mtu anaweza jikuta anacheka.

Kwamba Mkuu, hakuna matumaini kabisa yakukufanya uvute subira majibu yakukute Dodoma?
 
Back
Top Bottom