Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

Ndio niliingia ya kwanza kabisa nikadandia mtumbwi wa vibwengo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaa, pole sana mkuu.

Sisi tumekalishwa nje, na kale kaubaridi cha asubuhi kalinichapa sana hadi jua lilipochangamka ndio afadhali ikawepo.
 
Ila Dodoma mkoa flani hivi very expensive
kuishi kuliko mikoa yote hapa Tanzania nadhani.
 
Baadhi ya watu ni wabishi,mtu una usaili maeneo ya UDOM,unafikia mjini,unakutana na loji za hovyohovyo,mi nona ujilaumu mwenyewe,nimewaambia watu,fikieni Nghonghona,iko pembezoni na UDOM,loji ni nzuri Sana,tena bei ni 10,11,122 na 15,nimewapokea wengi,hakuna aliyelalamika,kama pesa,mi naenda kupewa na mhudumu wa loji,baadhi ya watu hawaelewi,wale ambao bado wanaingia,na nawasiliana nao ni mashahidi wakifika,na wale waliolala kwenye loji za huku,Kama loji ni mbaya,waseme humu,haki ya Mungu,loji ni classic na bei ni za kawaida sana,usafiri kwenda CIVE,CBSL,Utumishi ni mdogo Sana na unapelekwa hadi venue husika,mfano Auditorium,Theatres etc.Karibuni.
 
Sawa mkuu
Ambatanisha namba
 
Weka namba yako Boss.. maana Wala hauna offence humu kwamba ukajiogopa.. Binafsi nahitaji namba yako.. kama shida basi nitumie PM..
 
Wadau na safari ya kwenda kusaka tonge tena Arusha kule so nauliza kama kati ya IAA Arusha na Ofisi za TAWIRI kuna gesti za bei Chee kwa mim niliokopa nauli na kama zipo naomba nitajiwe majina
NB nahtaji gesti za buku 10 kushuka chini
 
Baadhi ya watu ni wabishi,mtu una usaili maeneo ya UDOM,unafikia mjini,unakutana na loji za hovyohovyo,mi nona ujilaumu mwenyewe,nimewaambia watu,fikieni Nghonghona,iko pembezoni na UDOM,loji ni nzuri Sana,tena bei ni 10,11,122 na 15,nimewapokea wengi,hakuna aliyelalamika,kama pesa,mi naenda kupewa na mhudumu wa loji,baadhi ya watu hawaelewi,wale ambao bado wanaingia,na nawasiliana nao ni mashahidi wakifika,na wale waliolala kwenye loji za huku,Kama loji ni mbaya,waseme humu,haki ya Mungu,loji ni classic na bei ni za kawaida sana,usafiri kwenda CIVE,CBSL,Utumishi ni mdogo Sana na unapelekwa hadi venue husika,mfano Auditorium,Theatres etc.Karibuni.
Uliweka namba hapa, jana nilipofika Dom niliipiga hiyo namba bila mafanikio. Nikachukua uamuzi mwingine
 
Back
Top Bottom