Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Hahahaa, nishapoteza hela nzuri tu kwa siku mbili(juzi na jana), siku ya leo naweza kulala bure stand.Sema hizi gharama wakati mwingine unaona bora ungekamata pisi tu usuuze moyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Japo huko niliko lala kwa siku hizo kina huduma hadi chai asubuhi ila tunaohustle halafu ukatumia hela kubwa ghafla lazima moyo uume