Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

Sema hizi gharama wakati mwingine unaona bora ungekamata pisi tu usuuze moyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaa, nishapoteza hela nzuri tu kwa siku mbili(juzi na jana), siku ya leo naweza kulala bure stand.

Japo huko niliko lala kwa siku hizo kina huduma hadi chai asubuhi ila tunaohustle halafu ukatumia hela kubwa ghafla lazima moyo uume
 
Haya tuendelee kujuzana.

PDF 2 zimeshushwa leo za shortlisted
 
hizi interview zakufatana ivi watatuua na nauli hatuna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaa, tuliwalalamikia sana kuwa wanachelewesha ila sasa ni juu yetu kupambana
 
NENDA HATA KITUO CHOCHOTE CHA POLICE UWAAMBIE UMEIBIWA KILA KITU WAKUPE HIFADHI HUMO HAUWEZI KOSA HATA GODOLO MZEE KITUO CHA POLICE
Wakikugeukia wanakuweke lock up, halafu wakate kukutoa bure, mbona itakuwa msala[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sema hizi gharama wakati mwingine unaona bora ungekamata pisi tu usuuze moyo[emoji23][emoji23][emoji23]

Hahaha, nimecheka sana. Kwamba utaona pesa yako imekwenda kihalali kabisa, na hata siku nyingine ukiwa huna au unapungufu anaweza kukuelewa kuliko kuichoma kwenye nauli na kulala ugenini.

Japo mkeka ukitiki, gharama zote hizi utazisahau Mkuu, tuendelee kupambana.
 
hizi interview zakufatana ivi watatuua na nauli hatuna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu, mimi naona ni bora zifuatane tena ikiwezekana zisiwe na gape kubwa ili mtu akienda atafute namna ya kujibana huko huko, kuliko nenda rudi, mara umefika nyumbani hujakaa sawa unatakiwa kupanda tena gari kama kondakta.
 
Hahaha, nimecheka sana. Kwamba utaona pesa yako imekwenda kihalali kabisa, na hata siku nyingine ukiwa huna au unapungufu anaweza kukuelewa kuliko kuichoma kwenye nauli na kulala ugenini.

Japo mkeka ukitiki, gharama zote hizi utazisahau Mkuu, tuendelee kupambana.
😂😂😂😂Pesa inauma sana ukipiga pepa afu halieleweki unaona bora ungepunguza hata uzito kidogo
 
Nina Written Dar tarehe 10, mbona hapatakalika aisee.
Sema mkuu ktk hii mikeka uliokuwa short listed Mungu akusaidie ubahatike Mmoja [emoji120]

Mimi kuna pdf langu la mwisho nalisubiri najua nitaenda kufanya kitu tofauti na nilichosomea ila waswahili wanasema ili mradi mdomo uwende kinywani
 
Nadhani wangemalizana kabisa na mikeka ya taifa kama TRA na NAOT, kisha watembee na ya watu wachache.
 
Back
Top Bottom