Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

Fursa nzuri sana hii, nina imani watu wataichangamkia
 
Aisee,sio poa.me niko mjini tayari..jana nilidandia fuso
Matokeo yenu yalitoka usiku? nilioona baadhi ila ya Bunge sijaona.

Ulikuwa kwenye zile kada waliotoa matokeo yao usiku?
 
Kweli mkuu.

Sisi wenyewe tumeambiwa matokeo hadi kesho jioni, kwa hiyo tunalala huku leo na kesho uwezekano wa kulala huku pia utakuwepo endapo wakitoa hayo matokeo mida ya usiku
 

Duh! Sawa Mkuu. Hizi kiuhalisia huwa ni kweli wanashika karatasi za watu wpte hao kusahihisha au wanakadiria tu alama!?
 

Ni kweli kabisa Mkuu uko sahihi. Nadhani shida iko hapo kwenye kufanya marking, hiyo nafasi inahitaji wachache sana na imeombwa na wengi.
 
Mbona jana ile ile walitangaza kwamba leo wanatoa za madereva na result za watu wengine ni hadi tarehe 7.hao walioamua kubaki huenda wana uhakika na walichoandika ila me binafsi nilichoandika nakijua ndio maana nikaamua kujiondokea tu.

Hahaha, Mkuu komenti yako imewasilisha maamuzi magumu uliyoyafanya ila kwa namna ambayo mtu anaweza jikuta anacheka.

Kwamba Mkuu, hakuna matumaini kabisa yakukufanya uvute subira majibu yakukute Dodoma?
 
Ndio niliingia ya kwanza kabisa nikadandia mtumbwi wa vibwengo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hahaha, nimecheka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…