Hahahaa, nishapoteza hela nzuri tu kwa siku mbili(juzi na jana), siku ya leo naweza kulala bure stand.Sema hizi gharama wakati mwingine unaona bora ungekamata pisi tu usuuze moyo[emoji23][emoji23][emoji23]
hizi interview zakufatana ivi watatuua na nauli hatunaππππHaya tuendelee kujuzana.
PDF 2 zimeshushwa leo za shortlisted
Hahahaa, tuliwalalamikia sana kuwa wanachelewesha ila sasa ni juu yetu kupambanahizi interview zakufatana ivi watatuua na nauli hatuna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ππππtatizo ni nauli sasaHahahaa, tuliwalalamikia sana kuwa wanachelewesha ila sasa ni juu yetu kupambana
NENDA HATA KITUO CHOCHOTE CHA POLICE UWAAMBIE UMEIBIWA KILA KITU WAKUPE HIFADHI HUMO HAUWEZI KOSA HATA GODOLO MZEE KITUO CHA POLICEHivi kukesha stendi kuu hapo mpka majogoo kuna noma ?
Hiyo ni survive for fittest sasa. Lazima waweze kupenya wachache kutokana na factors kama hizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tatizo ni nauli sasa
Wakikugeukia wanakuweke lock up, halafu wakate kukutoa bure, mbona itakuwa msala[emoji3][emoji3][emoji3]NENDA HATA KITUO CHOCHOTE CHA POLICE UWAAMBIE UMEIBIWA KILA KITU WAKUPE HIFADHI HUMO HAUWEZI KOSA HATA GODOLO MZEE KITUO CHA POLICE
Unaingia bure unatoka kwa helaππππNENDA HATA KITUO CHOCHOTE CHA POLICE UWAAMBIE UMEIBIWA KILA KITU WAKUPE HIFADHI HUMO HAUWEZI KOSA HATA GODOLO MZEE KITUO CHA POLICE
Ushauri mgumu sanaNENDA HATA KITUO CHOCHOTE CHA POLICE UWAAMBIE UMEIBIWA KILA KITU WAKUPE HIFADHI HUMO HAUWEZI KOSA HATA GODOLO MZEE KITUO CHA POLICE
wanaweza kutoa jioniHawa jamaa majibu sijui watatoa saa nagpi
Mara paap wanangeza siku majibu tarehe 10 [emoji2].Hawa jamaa majibu sijui watatoa saa nagpi
Nina Written Dar tarehe 10, mbona hapatakalika aisee.Mara paap wanangeza siku majibu tarehe 10 [emoji2].
Kuna wakulungwa tutajumuika nao stendi na vipande vya ma boksi
Sema hizi gharama wakati mwingine unaona bora ungekamata pisi tu usuuze moyo[emoji23][emoji23][emoji23]
hizi interview zakufatana ivi watatuua na nauli hatuna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ππππPesa inauma sana ukipiga pepa afu halieleweki unaona bora ungepunguza hata uzito kidogoHahaha, nimecheka sana. Kwamba utaona pesa yako imekwenda kihalali kabisa, na hata siku nyingine ukiwa huna au unapungufu anaweza kukuelewa kuliko kuichoma kwenye nauli na kulala ugenini.
Japo mkeka ukitiki, gharama zote hizi utazisahau Mkuu, tuendelee kupambana.
Sema mkuu ktk hii mikeka uliokuwa short listed Mungu akusaidie ubahatike Mmoja [emoji120]Nina Written Dar tarehe 10, mbona hapatakalika aisee.
Mimi mwenyewe ocean road inanisubili πππNina Written Dar tarehe 10, mbona hapatakalika aisee.