Tatizo zinakuwa mikoa tofautiMkuu, mimi naona ni bora zifuatane tena ikiwezekana zisiwe na gape kubwa ili mtu akienda atafute namna ya kujibana huko huko, kuliko nenda rudi, mara umefika nyumbani hujakaa sawa unatakiwa kupanda tena gari kama kondakta.
Mimi nasema ukweli wa Mungu hapa hakuna interview nilihudhuria nikakosa kula hizi Chipsi funga baada ya paper maybe that's way ni sababu ambazo zinanifanya nilikuwa nafeli labda [emoji2] kwa kubeba madhambi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pesa inauma sana ukipiga pepa afu halieleweki unaona bora ungepunguza hata uzito kidogo
Ahsante mkuu, Muumba na atie wepesi aisee ili tupishe na wengineSema mkuu ktk hii mikeka uliokuwa short listed Mungu akusaidie ubahatike Mmoja [emoji120]
Mimi kuna pdf langu la mwisho nalisubiri najua nitaenda kufanya kitu tofauti na nilichosomea ila waswahili wanasema ili mradi mdomo uwende kinywani
Tukapambane na huko mkuu.Mimi mwenyewe ocean road inanisubili [emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli kabisa wanatuchelewesha kujiandaa na zingineTukapambane na huko mkuu.
Ila wamenikalisha leo Dom hivi hivi imeniuma sana.
Waongeze tu nguvu kazi mambo yaende haraka.
😂😂😂😂Hahhhh umefanya nicheke sana mkuu daaah unaziokoteaga wapi aiseeeh sio bei ipo juu sana?Mimi nasema ukweli wa Mungu hapa hakuna interview nilihudhuria nikakosa kula hizi Chipsi funga baada ya paper maybe that's way ni sababu ambazo zinanifanya nilikuwa nafeli labda [emoji2] kwa kubeba madhambi
Halafu tukiwa tunasubiri haya matokeo, vibe la kujiandaa kwa sahili inayofuata halipo kabisaKweli kabisa wanatuchelewesha kujiandaa na zingine
haliwezi kuja mpaka ukishaona mtumbwi wa vibwengo uliodandia imekuaje kuajeHalafu tukiwa tunasubiri haya matokeo, vibe la kujiandaa kwa sahili inayofuata halipo kabisa
Wanazingua sana hawa sasa tutajiandaa sangapi?Jioni ya Utumishi naona bado haijafika.
Tuisubiri jioni ya kuanzia mida ya UCL tunaweza kupata matokeo
Tusubiri hadi saa 4 usiku mkuuWanazingua sana hawa sasa tutajiandaa sangapi?
Lakini wamezingua sanaTusubiri hadi saa 4 usiku mkuu
Kwani we jamaa unasubiria nn, kama Matokeo ya Bunge mbona yashatoka au ni kada gani unasubiria..?Tusubiri hadi saa 4 usiku mkuu
Mimi siko Bungeni, nilifanya jana tuliambiwa matokeo yanatoka leo jioniKwani we jamaa unasubiria nn, kama Matokeo ya Bunge mbona yashatoka au ni kada gani unasubiria..?