Nilipokusanya pepa nikakumbuka huu msemo wako.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umedandia mtumbwi wa vibwengo
Jamaa hawana huruma mkuu, hata kidogo, nkichek ya MNH washanitemaNilipokusanya pepa nikakumbuka huu msemo wako.
Tumeletewa swali la mwaka wa kwanza ambalo sikutarajia kama litakuja, huku lishavepa kichwani. Hilo swali marks 25 zote zimeenda
Ndio mkuu.
Staff wa ORCI walikuwa serious kusimamia hii written wakishirikiana na Utumishi.
Oral ambayo itafanyikia huko ORCI naona itakuwa ya moto.
Hawezi kukataliwa hiyo ni moja tuWakuu wakati tunasubiri wengine wenye maelekezo ya sehemu za kulala Dodoma naomba tupeane maarifa kwa wenye uzoefu.
Ni hivi, kuna zile nafasi za Ofisi za CAG yaani NAOT nilisikia madogo wanalalamika, nafasi ilihitaji mtu mwenye Bachelor ya Tax Management ila kuna mtu ana Bachelor ya Science in Taxation. Hawa watu wanachosoma darasani kiuhalisia kinafanana ila utofauti uko kwenye naming iliyofanywa na vyuo tofauti kwa programu husika.
Najiuliza huyu mtu mwenye jina lenye tofauti ndogo, akabadili mfumo kidogo, kisha akaitwa, je akifika getini watamzuia kwa sababu ya utofauti wa jina wakati walichosoma ni kimoja!?
Duuh hataree mkuuNishakandwa tayari.
Ama hakika hii safari sio ya lelema.
#FocusDomAgain
Pole mkuu, si umeitwa zingine kama JKCI?Jamaa hawana huruma mkuu, hata kidogo, nkichek ya MNH washanitema
Wana scale yao ya kitaasisi lazima pawe pazuriWalikua serious sana wale [emoji23][emoji23][emoji23]nikajiuliza au mshahara ni mkubwa sana nn
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimejikuta nacheka bila kupendqNilipokusanya pepa nikakumbuka huu msemo wako.
Tumeletewa swali la mwaka wa kwanza ambalo sikutarajia kama litakuja, huku lishavepa kichwani. Hilo swali marks 25 zote zimeenda
Ni kwel maana kuna mwamba nilimkuta stend pale anasema baada ya kumaliza usaili akawa hapo stend kwa siku mbili anasubili wadau home wamtumie pesa adandie ndingakama huna pesa safiri jioni fika dodoma usiku, lala stendi kuu ya mabasi pale ni salama na jengo la kulala ni zuri mtakutana wengi tu. Alafu asubuhi anza kufanya safari yako kwenda mahali pa usaili ulipopangiwa. kwa usafiri wowote huwezi tumia dakika zaidi ya 30 kutoka stendi kwenda mahali ulipopangiwa usaili.
😂😂😂😂😂Nde nde ndeeeeee ndeeee mwamba huyu apa sasa utumishi wanajua kutukanda aseeh ngoja kesho matokeo yatoke tuoneNaona utumishi wanaendelea kuwakanda watu,Leo watu wamekandwa na mchujo huko Arusha
Leo kulikua na mchujo kada gan?Naona utumishi wanaendelea kuwakanda watu,Leo watu wamekandwa na mchujo huko Arusha
hamna baridi pale stendi, lile jengo lina vioo na vioo vyote vimefungwa, namna lilivyojengwa ni joto tu ukiingia ndaniLile baridi la Dodoma ni la kulala nje kweli?
Mbu je?hamna baridi pale stendi, lile jengo lina vioo na vioo vyote vimefungwa, namna lilivyojengwa ni joto tu ukiingia ndani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimejikuta nacheka bila kupendq
Mimi kuhusu tokeo la kesho nishaweka silaha chini,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nde nde ndeeeeee ndeeee mwamba huyu apa sasa utumishi wanajua kutukanda aseeh ngoja kesho matokeo yatoke tuone
Wakale wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbu je?
Sema fresh tuendeleze mapambanoMimi kuhusu tokeo la kesho nishaweka silaha chini,
Nafocus mengine, kesho naamkia kusaka tonge