Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umedandia mtumbwi wa vibwengo
Nilipokusanya pepa nikakumbuka huu msemo wako.

Tumeletewa swali la mwaka wa kwanza ambalo sikutarajia kama litakuja, huku lishavepa kichwani. Hilo swali marks 25 zote zimeenda
 
Wakuu wakati tunasubiri wengine wenye maelekezo ya sehemu za kulala Dodoma naomba tupeane maarifa kwa wenye uzoefu.

Ni hivi, kuna zile nafasi za Ofisi za CAG yaani NAOT nilisikia madogo wanalalamika, nafasi ilihitaji mtu mwenye Bachelor ya Tax Management ila kuna mtu ana Bachelor ya Science in Taxation. Hawa watu wanachosoma darasani kiuhalisia kinafanana ila utofauti uko kwenye naming iliyofanywa na vyuo tofauti kwa programu husika.

Najiuliza huyu mtu mwenye jina lenye tofauti ndogo, akabadili mfumo kidogo, kisha akaitwa, je akifika getini watamzuia kwa sababu ya utofauti wa jina wakati walichosoma ni kimoja!?
Hawezi kukataliwa hiyo ni moja tu
 
Nilipokusanya pepa nikakumbuka huu msemo wako.

Tumeletewa swali la mwaka wa kwanza ambalo sikutarajia kama litakuja, huku lishavepa kichwani. Hilo swali marks 25 zote zimeenda
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimejikuta nacheka bila kupendq
 
kama huna pesa safiri jioni fika dodoma usiku, lala stendi kuu ya mabasi pale ni salama na jengo la kulala ni zuri mtakutana wengi tu. Alafu asubuhi anza kufanya safari yako kwenda mahali pa usaili ulipopangiwa. kwa usafiri wowote huwezi tumia dakika zaidi ya 30 kutoka stendi kwenda mahali ulipopangiwa usaili.
Ni kwel maana kuna mwamba nilimkuta stend pale anasema baada ya kumaliza usaili akawa hapo stend kwa siku mbili anasubili wadau home wamtumie pesa adandie ndinga
 
Naona utumishi wanaendelea kuwakanda watu,Leo watu wamekandwa na mchujo huko Arusha
😂😂😂😂😂Nde nde ndeeeeee ndeeee mwamba huyu apa sasa utumishi wanajua kutukanda aseeh ngoja kesho matokeo yatoke tuone
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nde nde ndeeeeee ndeeee mwamba huyu apa sasa utumishi wanajua kutukanda aseeh ngoja kesho matokeo yatoke tuone
Mimi kuhusu tokeo la kesho nishaweka silaha chini,

Nafocus mengine, kesho naamkia kusaka tonge kitaa
 
Nishakandwa tayari.

Ama hakika hii safari sio ya lelema.

#FocusDomAgain

Hahaha, dah Mkuu huu msemo wa kukandwa huwa unanichekesha sana. Kama vile ni mazuri, kumbe mengine yanaumiza.
 
Back
Top Bottom